Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna sehemu nimeona Arteta kapanga kwenda na 4-3-3 ila sasa Xhaka doesnt fit into that, unasemaje kuhusu hilo au ndio tutamzomea tena rafiki yako?
Naamini anaweza fit pia ikiwa hawa watatu wa kati, wawili watakuwa nyuma yake na yenye atakuwa mbele yao.

Granit sio DF - Defensive Midfielder hapa ndio expectations za Arsenal fans zinapofia.

Xhaka ni CM - Central Midfielder yenye ni muhimili au muunganisho baina ya nyuma na mbele.

Angalia from past experiences toka Borussia, Basel na Swiss Team even top performances za Arsenal even last season was one of our important players sababu couple of times alicheza juu ya DM.

Wenger era Xhaka was best Midfielder in PL why? alicheza juu ya Coquelin, Flamini na Wilshire.

Sitaki kuamini makocha watano kwenye carrier yake wote wanamatatizo kumpatia Xhaka captaincy badge!
 
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa

Pole Mkuu. Kabla ya yote yakupasa kwanza wewe mwenyewe umkiri Kristo Yesu na Kuamini. Hapo Uponyaji Utapokea
 
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
pole

kwahiyo hospital za mikoani ni rubbish?

jiheshimu
 
Unasingizia typhoid kumbe ni Asenane inakuchanganya mpka una ugua
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
 
i don't think we really need a GK , RB , AM or a CF more we need a new Manager. Arsene Wenger qualified for Champions League football with this squad.
20210817_230143.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole

kwahiyo hospital za mikoani ni rubbish?

jiheshimu
Hajakosea.

Nipo Korogwe waweza amini kuna kadi ya bima ukiwa nayo inabidi uende Tanga mjini kwakua hapa hiyo kadi inakubalika zahanati fulani inaitwa care? Ambayo haina hata mashine ya ultra sound na x ray.

Hospitali kubwa ya serikali inaitwa Magunga ina sifa mbaya mno nikaona labda ni experiences mbaya za zamani nikampeleka mtu kung'olewa jino dentist akabakisha kipande cha jino.
 
Back
Top Bottom