Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijaona kama Lautaro katugomea au la so nahisi hapa swala ni pesa ila unajua ukiwa na mchezaji kama Lautaro inakua ngumu kumuweka benchi.

Hii inamaanisha kuna wachezaji itabidi uwapige benchi sasa ishu inakuja kwamba utapigaje benchi Martinelli na Balogun huku ndiyo kwanza umetoka kuwasainisha mikataba mipya? Tena Leverkusen na wenzao wamekuja kumuulizia Balogun ukamshawishi abaki.

Ili aje lazima Auba au Laca na Nketiah waondoke ili kubalansi. Kama sivyo Lautaro achezeshwe
Sijaona kama Lautaro katugomea au la so nahisi hapa swala ni pesa ila unajua ukiwa na mchezaji kama Lautaro inakua ngumu kumuweka benchi.

Hii inamaanisha kuna wachezaji itabidi uwapige benchi sasa ishu inakuja kwamba utapigaje benchi Martinelli na Balogun huku ndiyo kwanza umetoka kuwasainisha mikataba mipya? Tena Leverkusen na wenzao wamekuja kumuulizia Balogun ukamshawishi abaki.

Ili aje lazima Auba au Laca na Nketiah waondoke ili kubalansi. Kama sivyo Lautaro achezeshwe namba 8.
Mpango uliopo ni kumuuza Laca binafsi napenda iwe hivyo hawa jamaa wa America ya kusini wako vizuri wanafunga magoli katika mazingira magumu afu wako fasta na ubishi kwa mabeki.
 
Sijaona kama Lautaro katugomea au la so nahisi hapa swala ni pesa ila unajua ukiwa na mchezaji kama Lautaro inakua ngumu kumuweka benchi.

Hii inamaanisha kuna wachezaji itabidi uwapige benchi sasa ishu inakuja kwamba utapigaje benchi Martinelli na Balogun huku ndiyo kwanza umetoka kuwasainisha mikataba mipya? Tena Leverkusen na wenzao wamekuja kumuulizia Balogun ukamshawishi abaki.

Ili aje lazima Auba au Laca na Nketiah waondoke ili kubalansi. Kama sivyo Lautaro achezeshwe namba 8.
In my opinion acha aje tu maana bado mdogo ana 23, Auba na laca hawa hawana muda mrefu Arsenal, Nasikia Arsenal wamejaribu kumuweka laca kwenye hili deal ila inaonekana Inter wanataka cash tu.

Kuhusu Balogun uzuri hawa watoto wengi wa Hale end, inaonekana Wenger aliwaRecruit kigezo kikubwa ilikuwa kucheza multiple positions, huyu anapiga LW ,CF. Binafsi naona watafit tu hii ya Arteta ni long term project.
 
Arsenal msimu huu deal zetu tunacheza na vijana wa miaka 23 kushuka chini.
 
In my opinion acha aje tu maana bado mdogo ana 23, Auba na laca hawa hawana muda mrefu Arsenal, Nasikia Arsenal wamejaribu kumuweka laca kwenye hili deal ila inaonekana Inter wanataka cash tu.

Kuhusu Balogun uzuri hawa watoto wengi wa Hale end, inaonekana Wenger aliwaRecruit kigezo kikubwa ilikuwa kucheza multiple positions, huyu anapiga LW ,CF. Binafsi naona watafit tu hii ya Arteta ni long term project.
Halafu nimesahau uliuliza Luca Jovic wa nini.

Ebwana Luca ni striker alikua akishut, mpira usipozuiwa na beki au kwenda nje basi ujue ni goli. Jamaa alikua very clinical. Shida ikawa timu aliyochagua kwenda.

Madrid pale mbele hakuna atakayechukua namba ya Benzema so hiko ndiyo kilimponza. Keep in mind mazoezini alikua anascore kuliko Benzema ila bado Zidane alikua anampa namba Benzema.

Anatolewa kwa mkopo na mechi ya kwanza tu anatia kamba, inayofuata kamba. Yaani kuscore kwake siyo swali.
 
Kesho tuwazabue bao ngapi nyie matakataka? Itabidi tuweke kikosi C akina Bakayoko na Baba rahman..na Akina Zappacosta na Drinkwater
 
Sasa kama mahari yako ilimaliziwa mpaka ukaolewa Dubai kwanini hela ya Pepe isimaliziwe?
Kesho tutaweka Akina Batshwyai, Zappacosta, Bakayoko, Baba Rahman, na wengine wote waliokuwa kwa mkopo..
Kikosi A na B mtakutananacho kwenye ligi..

Huyu Ben White tumepigwa wazee..
 
Kesho tutaweka Akina Batshwyai, Zappacosta, Bakayoko, Baba Rahman, na wengine wote waliokuwa kwa mkopo..
Kikosi A na B mtakutananacho kwenye ligi..

Huyu Ben White tumepigwa wazee..
Wewe 😅😅😅 kikosi B 😅😅😅 hicho ni kikosi B!!!!???😅😅😅

Hadi unatia uvivu jinsi ulivyo mweupe kichwani. Twende kwenye uzi wa mdada katapeliwa huko akili yako itafaa. Hapa wewe ni mtupu😅😅😅😅
 
Breaking news: Since Arsenal last won the Premier League:

Chelsea have won 5 Premier Leagues
Chelsea have won 5 FA Cups
Chelsea have won 3 League Cups
Chelsea have won 2 Europa Leagues
Chelsea have won 2 Champions Leagues

Tell the world London is Blue. 🔵
 
Jumapili:
Chelsea vs Arsenal
Chelsea woman vs Arsenal woman

Mimi kama msemaji wa Chelsea: nasema hivi, TUNAVAMIA FAMILIA TUNAKULA MUME, MKE NA WATOTO(mashabiki)
 
Lokonga yupo poa sana ameonesha sio mzigo kwenye hizi mechi mbili tatu, ila Luca Jovic wanini mzee? Lautaro huyo hapo yupo willing toeni pesa tu.

Binafsi navutiwa sana na wachezaji wa America kusini cuz they're not system players, kuna ile natural taste ya South America mchezaji muda wowote anashinda mechi.
Mfano Rodrigo de paul tulikuwa wa kwanza kuhusishwa naye binafsi nilikuwa simjui, ila Copa America kaonesha he is something else.
😂😂😂 Arsenal bhana 😂😂😂 ety Lokonga
 
Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu
Huu upuuzi uliishia wapi.?
 
Mshabiki halali wa chelsea nmehamia hapa kwa muda mpaka tutakapo-maliza jambo letu kwenu Asengegwe
 
Hana presha jijini Milan atafufunga Sana
image-2021-08-01-13-00-20.jpg
 
Back
Top Bottom