HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
White kaja tu kuziba pengo la David Luiz. Wanasema anajua kutoa pasi nzuri hivyo ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi kutoka golini kwetu. Tatizo ni tukifika kwenye box la adui hatuna ubunifu. Ndio maana naona Maddison atafaa maana ana vichenga vya kasi na atawapa changamoto mabeki kwenye no.10. Bado sina imani na Smith Rowe kubeba jukumu hilo kwa sasa. Pia tunahitaji no.8 wakupartner na Partey kama Thomas akicheza no.6. Elneny kwenye kupeleka mipira mbele bado changamoto.Ulinzi ulishakua imara.
Tatizo kushambulia na kufunga. Hapo ndiyo anaingia bwana White

