Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Umeandika ukweli ila kwangu bora acheze Abraham kuliko hii mbumbumbuTimo werner anamsaada mkubwa kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea pale mbele,game nyingi ambazo Timo amecheza Chelsea imepata ushindi kwenye game nyingi.
Faida ya Timo Werner
Japo Werner sio clinical finisher mzuri lakini faida zake ni
1.Anatengeneza assist nyingi
Ndio mchezaji mwenye assist nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea
2.Anatengeneza pace
Kupitia kasi yake na jinsi anavyojiposition inafanya kutengeneza nafasi za wazi kwa machezaji wenzake kufunga au kufanya shambulio la hatari rejea goal la Kai havert dhidi ya Man city kwenye fainali ya UEFA bila movement aliyoifanya Werner goal la Kai havert lisingetokea na amekuwa anafanya Hili kwa mechi nyingi Sana.

