BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Jumapili:
Chelsea vs Arsenal
Chelsea woman vs Arsenal woman
Mimi kama msemaji wa Chelsea: nasema hivi, TUNAVAMIA FAMILIA TUNAKULA MUME, MKE NA WATOTO(mashabiki)
Jumapili:
Chelsea vs Arsenal
Chelsea woman vs Arsenal woman
Mimi kama msemaji wa Chelsea: nasema hivi, TUNAVAMIA FAMILIA TUNAKULA MUME, MKE NA WATOTO(mashabiki)
Kuna timu zaweza kukukuruka ila siyo timu mbili fulani hivi.Brentford atakaa na Cheltako huyu anakalishwa iko wazi hanaga jipya wauni tukiwa Serious.
Ila kiukweli, goli lao la wazi lime kataliwa.Yani nyie matakataka tunawapiga viwili tu???!
Kweli hatupo serious..
Brentford atakaa na Cheltako huyu anakalishwa iko wazi hanaga jipya wauni tukiwa Serious.
Tukiacha ushabiki werner hana maajabu, Mchezaji ni Kai havertz huyu soka la Arsenal lingemfaa sana.
Ila kiukweli, goli lao la wazi lime kataliwa.
Binafs hii game mumetoa sare, kenge nyie
Timo werner anamsaada mkubwa kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea pale mbele,game nyingi ambazo Timo amecheza Chelsea imepata ushindi kwenye game nyingi.Tukiacha ushabiki werner hana maajabu, Mchezaji ni Kai havertz huyu soka la Arsenal lingemfaa sana.