Arsenal ( the gunners ) mtawaelewa tu

mrisho abdi58

Member
Sep 20, 2017
11
1
Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu
 
Kuwaamini hawa wachukue kombe kwanza arsenal kushinda mechi huwa wanashinda vizur tu sema makombe na wakishinda vizur hii inawapa fursa ya kuingia top 4
 
Msiba huanza mechi kumi za mwisho vyuma vinakuwa vimechemka wanapoteza uelekeo wa ubingwa na kuishia top 4 ingawa msimu ulopita ikawa ngumu nayo.
 
Mimi ni Gunner kindakindaki ila siuamini tena uwezo wa Babu bila kuondoka tusitegemee kitu
 
Wenger on Man city's form ,"Is it outstanding that Man city won 5-0 at Etihad?Yes.Have they won 3 FA cups in 4 years?No."
 
Mzee Wenger kuondoka arsenal sio Leo labda mungu aamue lakini yeye kama yeye haondok ngo
 
Leo mnagonga ukuta kwa West Bromwich

Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu
 
Heheee.. Kwa mnataka kutembelea nyota ya Chelsea.? Hivi mnajua kuwa vile vipigo vilimuweka sawa Conte akaamya kubadili mfumo wa uchezaji sasa nyie mpk sasa sioni kinachoendelea. Msipokua makini hata msimu ujao mnakosa na yuropa mnayoshiriki mwaka huu
 
Arsenal yangu nmeanza kuipenda toka kina lee dixon.. aisee naijua vizur, sidhani km usemalo ni sahihi, nakupa nafaz ya asilimia 5 tu juu ya ukisemacho, ina matatzo mengi mnoo sidhan kama wataweza kufanya kama ya chelsea, sidhan n siwapi nafasi
 
Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu
Amka kutoka usingizini wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom