Kwamba huwa unamuamini Grealish utadhani umekua ukimuona kwa misimu 10, yaani misimu miwili tuSure, wachezaji wa kingereza majanga Mimi huwa namuamini Grealish tu
Sasa kama wewe umemuona misimu miwili unadhani ndio wote?Kwamba huwa unamuamini Grealish utadhani umekua ukimuona kwa misimu 10, yaani misimu miwili tu
wa londonKikundi cha wavuta ndum
wa london
Sisi tuna UEFA mbili wewe una UEFA ngapi? Na kubahatisha kukoje?Maendeleo ya Timu yetu yamefanya wengi wetu kupunguza kuja kwenye uzi wetu.
Power is not permanent, huu ni muda wa kuisuka timu upya, haijalishi tutahitaji miaka 2 au 3 zaidi.
Hongereni kwa nyote mliotuwakilisha hapa bila kuchoka.
Chelsea fans naona mmejua kutamba na kutukeraa kwenye jukwaa letu baada ya kubahatisha UEFA, hongera kutuchangamsha.
Kumbukeni, tunarudi kwa kishindo 💪
We are Gunners forever 💪💪💪💪💪
Roma haikujengwa kwa Siku Moja, muda wetu utafikaSisi tuna UEFA mbili wewe una UEFA ngapi? Na kubahatisha kukoje?
Ndio mnavyojidanganya hiv kwa sajili hizi za pound mil 2 ndio mtafanikiwa au mtazidi kuwa wasindikizaji?Roma haikujengwa kwa Siku Moja, muda wetu utafika
Kama vikombe nimechukua vingi kabla yako.......Utaniambia nini 😜😜Ndio mnavyojidanganya hiv kwa sajili hizi za pound mil 2 ndio mtafanikiwa au mtazidi kuwa wasindikizaji?
Mzee wakazi, wewe hujengi bali unabomoa.Roma haikujengwa kwa Siku Moja, muda wetu utafika
Mkuu ni kweli Arsenal yetu imeyumba lakini bado ni Club kubwa Ulaya.Mzee wakazi, wewe hujengi bali unabomoa.
Nikiikumbuka Arsenal ya kina Dasilva, Viera, Henry, Ashley Cole, Lijumbag, Wiltod, kolo ture, Becampu, huwa najipa jibu kua Arsenal inakwenda kua kua kama Sandaland, haki ya mama.
Hivyo vikombe ulivyochukua ni vya historia lakini miaka hii huna chakutamba tangu 2000 mpaka leo hakuna club yoyote ya England ilioizidi Chelsea kwa makombe na pia sisi ndio tulioingia Mara nyingi UEFA nusu fainal kuliko team yoyote ya EnglandKama vikombe nimechukua vingi kabla yako.......Utaniambia nini 😜😜
Kama UEFA nimeshiriki mara nyingi kabla yako.....Utaniambia Nini😜😜
Mkuu Mwaka huu, tunakwenda kuweka Historia 💪💪
Ilikua club kubwa, ila kwa sasa ni kama Aston villa.Mkuu ni kweli Arsenal yetu imeyumba lakini bado ni Club kubwa Ulaya.
Tutafika tu![]()
Chelsea ni club ya vijana wenye umri chini ya miaka 25.Hivyo vikombe ulivyochukua ni vya historia lakini miaka hii huna chakutamba tangu 2000 mpaka leo hakuna club yoyote ya England ilioizidi Chelsea kwa makombe na pia sisi ndio tulioingia Mara nyingi UEFA nusu fainal kuliko team yoyote ya England
Club kubwa hupimwa pia na wingi wa vikombe pamoja na Ukwasi walionao.Ilikua club kubwa, ila kwa sasa ni kama Aston villa.