Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Me wameni furahisha pale kwa Kokoko tu, hivi Kokoko si viatu vya mchuchumio hivyo![emoji23][emoji23][emoji23] Wachezaji wa Arsenal bhana [emoji23][emoji23][emoji23] ety Lokonga
Yani jina tuu unaona kabisa hapa hatuna mchezaji Yan tumepigwa jumla
Leo wameona watuletee Ukonga badala ya Segerea, jinga sana hawa jamaa