Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi naona Aouar ni bora kuliko maddison, unajua aouar ni sawa unazungumzia mchezaji kama Carzola au Nico pepe yaani wale super talented muda wowote wanaweza kurecover form.

Hawa wachezaji wa statistics huwa siwaelewi, statistics zinaonesha Rob holding ndio CB bora kuliko wote hapo Arsenal last season, ajabu Ben white anakuja kuTake his chance.At least Tungempata Jack Grealish ingekuwa poa
Aouar bado sana kwa tim kam Arsenal na Ligi kam ya Premier. Nafuu madson hata uyo locatelli bado sana.
 
Mkuu Kuna sababu nyingi za Maddison kusajiliwa Arsenal,
kwanza ni Homegrown player anapunguza namba ya Foreign players ( Ozil aliachwa kikosini last season sababu hii), pia anauelewa mzuri wa ligi already proven..

kwa upande wa Aouar akisajiliwa Arsenal mimi naona analeta kitu kimoja tu Creativity na ndio kazi yake.
Oyah, hata mimi nawashauri msajilini Maddison kuliko huyo huyo Aour.
Unajua kwanini?
Sikuambii mpaka mumsajili kwanza, japo najua ni ndoto za alinacha.
 
🤫🤫🤫🤫
fulltimetweets-20210722-0001.jpg
🤫🤫🤫🤫
 
Dogo kupewa No 10 inaonesh dili la madson limekufa kwasbb madson hawez kuja arsenal akapewa namba tofauti na 10
Kwanini asipewe, hana ukubwa huo.. Zidane kafika madrid akavaa namba 5, cr7 akaanza na namba 9.
 
Naona Man city wameshindwa kuchukua kombe (UCL) sasa wanataka kulinunua kivyovyote, Kane £160m, Grealish £100m, in total £260m.
Wana bahati mbaya.

Uwekezaji kama huo halafu trophy unakuta ni FA au Carabao wakistretch zaidi ndiyo wanachukua na ligi.

Timu kama hii defense yake tu ina thamani ya Milioni 200+ sawa na wakina United na Chelsea, Arsenal itabidi ifollow suite itake isitake.
 
Back
Top Bottom