Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dili ngumu hili ukizingatia wameuza mchezaji mzuri Hakimi
Ni ngumu ila siyo kwamba haiwezekani. Conte ameondoka kwakua klabu imesema haina pesa, ikatokea kuna pesa nyingi mezani wanaweza kuconsider ila sasa Arsenal ya kuweka pesa ndefu sana iko wapi?

Hapo inajiambia mbona tuna Auba, Martinell, Balogun, Laca n.k.
 
James Maddison kwa bid £70m Leicester wapo tayari kumuachia, ana mkataba paka 2024, Sasa hii timu yetu kwa pesa hiyo sijui tu.
 
Tammy Abraham loan with an obligation to buy, Chelsea wanataka around £40m
Tammy
Ramsdale
Maddison
Ben white

Imekuaje tunataka waingereza tu this window?
 
Tammy Abraham loan with an obligation to buy, Chelsea wanataka around £40m
Tammy
Ramsdale
Maddison
Ben white

Imekuaje tunataka waingereza tu this window?
Hua ni trick ya kuwin local supporters.

Zaidi ya white wengine sidhani. Arsenal imemrudia Odegaard
 
Screenshot_20210729-093300_Instagram.jpg

Miaka hiyo unajivunia kuwa Arsenal,ila sasa daah.........
 
Arsenal linapokuja suala la youngsters wa academy inahitaji umakini, in my opinion Joe Willock asiuzwe tu ilimradi, tujifunze kwa Serge Gnabry na Donyell malen.
 
Mnajua matokeo ya jana ya United dhidi ya Brentford?

Kama hamjui labda ni kwavile hayapigiwi kelele kama ya Arsenal.
 
Tammy Abraham loan with an obligation to buy, Chelsea wanataka around £40m
Tammy
Ramsdale
Maddison
Ben white

Imekuaje tunataka waingereza tu this window?
Tukifanya masihara chama kitakuwa la kuisaka nafasi ya 5,6 sinaga imani saana na wachezaji wa kingereza.
 
Back
Top Bottom