Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kwa sababu mkataba unakaribia kuisha ila hata hivyo na goal contribution imeshuka. Anapitwa na Maddison
Binafsi naona Aouar ni bora kuliko maddison, unajua aouar ni sawa unazungumzia mchezaji kama Carzola au Nico pepe yaani wale super talented muda wowote wanaweza kurecover form.

Hawa wachezaji wa statistics huwa siwaelewi, statistics zinaonesha Rob holding ndio CB bora kuliko wote hapo Arsenal last season, ajabu Ben white anakuja kuTake his chance.At least Tungempata Jack Grealish ingekuwa poa
 
Mchezaji wa kiungo ushambukizi (attacking midfielder) Emile Smith Rowe amesaini mkataba mrefu na timu yake ya Arsenal.

Smith Rowe msimu ujao atavaa jezi namba 10.

Wachezaji wa zamani ambao wamevaa jezi namba 10 ni Denis Bergkamp, Robin van Persie, Jack Wilshere na Mesut Ozil.

Bila shaka Emile ataitumia vema jezi hiyo.

Well done kijana.

COYGs!!
 
Tuliwahi kubishana humu, kipindi process ya kumuuza inaendelea, my position ilikuwa, heri angeondoka Leno akabaki Martinez. Mlinishambulia sana, lakini sasa hivi mna majibu
Sure, Kwa form aliyokuwa nayo Emi hakutakiwa kuuzwa, yaani tulikuwa na maGK wanaompa ugumu kocha nani aanze

kama unakumbuka Leno alisubiri Cech aumie ndio akachukua namba lakini kwa upande wa Leno alivyoumia ilikuwa tofauti ingawa Emi alionesha uwezo wa juu sana, alitupa FA cup na Community shield ila bado hakuaminiwa, unfortunately hatujawahi kumfunga goli toka aondoke.
 
Binafsi naona Aouar ni bora kuliko maddison, unajua aouar ni sawa unazungumzia mchezaji kama Carzola au Nico pepe yaani wale super talented muda wowote wanaweza kurecover form.

Hawa wachezaji wa statistics huwa siwaelewi, statistics zinaonesha Rob holding ndio CB bora kuliko wote hapo Arsenal last season, ajabu Ben white anakuja kuTake his chance.At least Tungempata Jack Grealish ingekuwa poa

Hapana nadhani hujamfuatilia Maddison, huwezi mlinganisha na Oauar. Nina hakika 80% Edu na Arteta wanakiona ninachokielezea hapa, 90% tutamchukua ni part exchange na AMN na £ za kutosha
 
Tuliwahi kubishana humu, kipindi process ya kumuuza inaendelea, my position ilikuwa, heri angeondoka Leno akabaki Martinez. Mlinishambulia sana, lakini sasa hivi mna majibu
Haya sawa.

Arsenal inashika nafasi ya tatu kwa timu zilizofungwa magoli machache Aston Villa inashika nafasi ya ngapi?
 
Haya sawa.

Arsenal inashika nafasi ya tatu kwa timu zilizofungwa magoli machache Aston Villa inashika nafasi ya ngapi?
Nilijua nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, kumbe kwenye kufungwa magoli machache!
Sasa hapo mungekua na Martinez, bila shaka mungeshika nafasi ya kwanza.
 
Hapana nadhani hujamfuatilia Maddison, huwezi mlinganisha na Oauar. Nina hakika 80% Edu na Arteta wanakiona ninachokielezea hapa, 90% tutamchukua ni part exchange na AMN na £ za kutosha
Mkuu Kuna sababu nyingi za Maddison kusajiliwa Arsenal,
kwanza ni Homegrown player anapunguza namba ya Foreign players ( Ozil aliachwa kikosini last season sababu hii), pia anauelewa mzuri wa ligi already proven..

kwa upande wa Aouar akisajiliwa Arsenal mimi naona analeta kitu kimoja tu Creativity na ndio kazi yake.
 
Mchezaji wa kiungo ushambukizi (attacking midfielder) Emile Smith Rowe amesaini mkataba mrefu na timu yake ya Arsenal.

Smith Rowe msimu ujao atavaa jezi namba 10.

Wachezaji wa zamani ambao wamevaa jezi namba 10 ni Denis Bergkamp, Robin van Persie, Jack Wilshere na Mesut Ozil.

Bila shaka Emile ataitumia vema jezi hiyo.

Well done kijana.

COYGs!!
Ukimtaja Dennis Bergkamp moyo unanipasuka.. Moja kati ya wachezaji nilitamani wawe vijana daima..
 
Nilijua nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, kumbe kwenye kufungwa magoli machache!
Sasa hapo mungekua na Martinez, bila shaka mungeshika nafasi ya kwanza.
Wenye Martinez wanashika nafasi ya ngapi?
 
Mkuu kwa Martinez we kubali yupo vizuri, ame-play role kubwa argentina kubeba kombe la south America
Yaani sijakataa kwamba ni mzuri lakini kusema Leno ni kinabo ndipo hapo ninapokataa.

Mimi nilisema tuna bahati tuna makipa wawili wazuri ila ni ngumu kubaki nao wote kwa mara moja, Emi alijua kama anahitaji namba Argentina ni lazima awe starter level ya klabu.

Akaweka sharti la kusaini mkataba mpya liwe ni kua kipa namba moja.

Haya Mysterio tuassume we ndiyo kocha unafanyaje na amebakisha muda kidogo awe free agent? Unaona sakata la Donnaruma? Ndiyo kingetokea kama tusingemuuza.
 
Hatimaye Emile Smith Rowe kasaini mkataba wa muda mrefu.

Kuna hii ishu inaendelea.

Arsenal tunamtaka Maddison, Leicester inamtaka AMN. Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom