Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...dah,

pengo la RVP linajionyesha, uwezo wa ku hold mpira umepungua pale ndani ya 18.
Anyway, tusubiri tactics za Mr Wenger kipindi cha pili...
 
Mheshimiwa Mbu hali yako?, nakutakiwa kila la kheri mechi ya leo uweze kumkaribia Man U!
 
...a ha ha!, karibu Mgosi.
pole na kipigo cha jana bana.
Asante sana, maumivu yamepoa. Si unajua sie wengine kushinda na kushindwa ni sehemu ya maisha!, shida ni kwa wale wanaojua kushinda tu wakishindwa inakuwa taaabu kweli kweli. Ila leo unashida, jitahidi ushindi uwe mnono!.
 
daaahhhh!!

what a tempo..., bahati mbaya Theo game imemkataa kabisa leo.
 
mnh, Theo is injured, ligament?
sub? Denilson.
 
Asante sana, maumivu yamepoa. Si unajua sie wengine kushinda na kushindwa ni sehemu ya maisha!, shida ni kwa wale wanaojua kushinda tu wakishindwa inakuwa taaabu kweli kweli. Ila leo unashida, jitahidi ushindi uwe mnono!.

...aaha ha haa...maamndishi yako yanasomeka 'kibuluu', unamaanisha "Chel-sick" nini?
Sisi Game ya leo imetuongezea idadi ya majeruhi tu.

Aaron Ramsey arudi sasa.
 
Arsenal sub,

Chamakh in
Bendtner Out....

Pheeewww, ...Relieved!
 
Naona sasa tunashikilia kamba sana.....Jamaa wanakuja kama mvua na wanadefend the same........Ila bado beki yetu inasimama vizuri...
 
pheeeeeeeeeeeeewwwwww....!

😛ray:😛ray:😛ray:

Mw'Mungu Mkubwa.
Game Over, japo idadi ya majeruhi key players imezidi.

We are now within a point na Manure,....hureeeeyyyy!!!
Together we Stand.
 
OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOhhhhhhh!!!!! My adrenaline level is now slowing down to Normal......Dalap anarusha mipira sijawahi ona...Hizi last minutes zote tulikua tumekalia kuti kavu.....Ni nouma....Thanx alot kwa SQI goal....its 1 goal for three points.....Happy...Happy......Happy.....Happy.......Now J2 tutanyanyua kwapa i guess......Sorry kwa FAB na Walcott....may be they will come back real soon.....
 
Hongereni watani.

...na nyie pia,

nilikuwa naangalia mechi mbili kwa mpigo nusura nipate makengeza.
Kina Andre Ayew dakika za mwisho waliwakaba koo wazee, nadhani nanyi mlikuwa pumzi nusu nusu...
Anyway, hawatawapa taabu "Old Trash Fort!"
 
OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOhhhhhhh!!!!! My adrenaline level is now slowing down to Normal......Dalap anarusha mipira sijawahi ona...Hizi last minutes zote tulikua tumekalia kuti kavu.....Ni nouma....Thanx alot kwa SQI goal....its 1 goal for three points.....Happy...Happy......Happy.....Happy.......Now J2 tutanyanyua kwapa i guess......Sorry kwa FAB na Walcott....may be they will come back real soon.....

...ananikumbusha sana Yussuf Ismail Bana,...R,I.P
The funny thing, Delap hakuna aliyempa kitaulo cha kufutia mpira,
kila akifutia jezi yake ndio kwanza alikuwa anaupaka mpira jasho...

Jermaine Pennant alikuwa anataka sifa kwa waajiri wake wa zamani...
Big up sana kwa Jack "the beast" Wilshere!
 
Cesc Fabregas has a hamstring problem and they will "assess him on Thursday". Theo Walcott has an ankle sprain and will definitely miss Sunday's Carling Cup final. AW on BBC
 
Cesc Fabregas has a hamstring problem and they will "assess him on Thursday". Theo Walcott has an ankle sprain and will definitely miss Sunday's Carling Cup final. AW on BBC
Kweli adui yako muombee njaa, hizi habari njema kwetu. By the way hongereni kwa ushindi wa leo!
 
Well well well .... ..... ... tulikumbana na wacheza rugby leo lakini wamekiona cha mtema kuni.
 
Back
Top Bottom