Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maisha yanaenda kasi sana yaan mwez wa 8 mwaka jana kwenye hilihili jukwaa tuliambiwa Partey ndo anakuja kukatamzizi wa fitna leo napita hapa Partey yuleyule anaonekana c chochote c lolote??
Mkuu nisaidie kishangaa, nikisema washabiki wa Aseno hawana tofauti na wafuasi wa uvccm natukanwa, kuna tofsuti gani hapo???

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kroenke aligoma kulipa mishahara ya ozil??

Such a world class player with unbelievable talent unashindwa kumtumia mnaingia kwenye migogoro na mtu wa aina yake halafu kutwa kumshushia lawama tajiri.

Arteta na edu wake ni wahuni na washenzi tu. Sasa huyo arteta wenu Leo ndio anam-defend huyo kroenke mnaemlalamikia
 
Kuna factors nyingi za timu kushinda. Most ni morali ya timu, sasa ukiiangalia Leicester na West Ham kwa misimu minne nyuma timu gani ina morali katika hizo timu tatu?

Na hata msimu huu klabu haina mentality ya ushindi na morali hairidhishi.
Unakusudia kumjibu nini hapo computerarsenal maana ameuliza swali jepesi kabisa
 
Mkuu nisaidie kishangaa, nikisema washabiki wa Aseno hawana tofauti na wafuasi wa uvccm natukanwa, kuna tofsuti gani hapo???

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nashauri jukwaa hili walibadili liwe hata la madalali wa nyumba maana hamna timu humu na mashabiki wake wanakwambia mwekezaji ni mchungu wkt Auba anavuta mpunga wa kutosha tu .....nawashauri waje anfield waone watu wachungu/wachumi wanafananaje
 
Ndugu,

computerarsenal alikuuliza swali jepesi tu umekuja na mloloooongo wa majibu tena hayahusiani na swali lake.

Hebu jibuni maswali. Tuliyemtukana kwamba hajui kiingereza na anampendelea Guendouzi alitupeleka fainali. Leo juu ya kuwa arteta tulimuongezea Partey na Pablo Mari na Cedric na takataka nyengine kibao katufikisha hapa why tusimlaumu arteta??

Yaani nashangaa tajiri analumiwaje hapa??
 
Nawashangaa sana hawa jamaa
 
Kucheza timu ya taifa sio kwamba wana kiwango bora bali ndio machaguo walio nayo kwa mda huo na hawana jinsi timu ya taifa sio club.
Eti nini??? Kucheza timu ya taifa ya Uruguay au Germany haimaanishi kama una kiwango Bora???

I am off...
 
Kocha anatumia formation ambayo tangu nianze kushabikia Arsenal haijawahi kutumiwa na yeye ndiye kaanza nayo leo siku ambayo anataka ushindi.

Say hello to 4 1 4 1
Na hapa tumlaumu kroenke mkuu.

Ndio aliemwambia kocha afanye hivyo
 
Eti nini??? Kucheza timu ya taifa ya Uruguay au Germany haimaanishi kama una kiwango Bora???

I am off...
Ina maana France alivyo chukua kombe la dunia ina maana wachezaji wote walikuwa bora including Giroud? Vip Ureno na Euro nayo wachezaji wote walikuwa bora?

Tuzungumzie kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na si wengine kujificha kwenye uwezo wa wachezaji wengine halafu tuseme bora.
 
MASHABIKI WA ARSENANE WANAMUONA PARTEY KAMA POGBA, CEBALLOS KAMA BRUNO..NA HAPA NDIPO MNAPOFELI.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna hao wenye arseno yao hao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Walikuwa wakituaminisha humu kwamba ceballos ni bonge la mchezaji na ozil hana maana mjinga tu hakabi kwanza. Pumbavuuuuuu
 
Maisha yanaenda kasi sana yaan mwez wa 8 mwaka jana kwenye hilihili jukwaa tuliambiwa Partey ndo anakuja kukatamzizi wa fitna leo napita hapa Partey yuleyule anaonekana c chochote c lolote??
Aliekwambia alikudanganyeni mkuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mtafuteni awarudishie hela zenu za bundle
 
Huyo huyo unaye taka kumtimua ndiye aliyekupa FA na ukafanikiwa kupata chance ya kucheza Europa.

Halafu kwenye list uliowataja mchezaji mmoja Partey wengine ilikiwa mwendo wa Trial and error (aka Sagulasagula).
 
Unai Emery has proved that Arsenal is owned and managed by a bunch of idiots, they sacked him and he eliminated them from Europa
Hapo managed hapo ndio penyewe.

Yule mshenzi Edu alikwenda Marekani kumtilia Unai fitna ili aletwe arteta. Unai deserved to be given more time. Sasa kwa kuwa wanampelekesha arteta wanavyotaka tama timu ilipofikishwa mbona hawamfukuzi??
 
Leno, Torreira, Partey, Auba, Tierney, Gabriel Magalhaes, Saka, Martinelli, Odergaad, Ozil, hawa ni baadhi ya wachezji ambao angekuwa nao Brenden Rodgers angekuwa anapigania kuchkua EPL tena asubuhi na mapema.

Kubalini Arteta hana uwezo wa kufundisha na ku-manage timu kama arsenal.

Ancelotti na wachezji wale wa Everton tu na ametuzidi kwa mbali mnataka mumtupie lawama tajiri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…