Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
mkishinda leo tunakutana ndani ya old trafford katikati ya march, tatizo tunha tough fixture hizi wiki mbili zijazo.
...It will be a pleasure bro, am looking forward to that!
mkishinda leo tunakutana ndani ya old trafford katikati ya march, tatizo tunha tough fixture hizi wiki mbili zijazo.
FA CUP QUARTER-FINAL DRAW
Stoke City v West Ham/Burnley
Man City/Aston Villa v Everton/Reading
Birmingham City v Fulham/Bolton
[SIZE="3"[I][B][SIZE=4]]Man Utd[/SIZE][/B] v[COLOR="red"] Leyton Orient/Arsenal[/COLOR][/SIZE][/I]
Ties to be played 12/13 March.
This means kama tutashinda game ya leo then hii BIG game itachezwa baada ya CL Barca 2nd leg........ may GOD help us get away with this TIGHT FIXTURE...........................Its my Hopes that we'll...............
mkishinda leo tunakutana ndani ya old trafford katikati ya march, tatizo tunha tough fixture hizi wiki mbili zijazo.
Niliombea tukutane na nyie kule kwenye thread yetu, ili tuwakate ngebe...nataman mu-waote na Barca ili CL pia tukutane.
Kiboko yenu Park atakuwa ashapona. Msijali. Hahahaha!
Hahaha jamaa alikuwa anadhani anamjibu mbu i guess.Mkuu mbona unamjibu mshabiki mwenzako kama mko timu mbili tofauti lol.
Mkuu mbona unamjibu mshabiki mwenzako kama mko timu mbili tofauti lol.
Aisee na mm nimeshindwa kuelewa kama vile alikuwa anampa pass kipaHuyu Chamakh vipi?
Hahahaha! nilikosea kaka, thts why i came back kuja ku-edit. Hii inaonesha ni jinsi gani NIKO NA HASIRA NA HAMU na nyie.
Heheh poa poa mkuu si unajua siku zote unakaribishwa old trafford... Ila for now mie nataka tushinde mechi zetu za epl zinazokuja ndani ya hizi wiki mbili ata kama we have to sacrifice fa cup.. Number 19 ni tamu zaidi lol....It will be a pleasure bro, am looking forward to that!
Tuko pamoja wakuu ,i hope huyu ben na chamalck wataweza ku-connect leo.
Jamaa naona wako kwenye flats zao wanacheki game lol.