Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu bwana, kabla ya mechi eti mtapigwa 4, baada ya mechi wanageuka, ooh subirini Camp Nou!
Sie tushasahau about Barca for now, tuna-concentrate on FA Cup J'pili, game after game!

Sikujua Barca ina washabiki wengi hivi! Barca kapakatwa Pub, unapata nyama choma, laga, etc.!
 
Jana nimegundua kuwa kuwa kuna baadhi ya watu

  • wanashabikia vilabu fulani fulani ndio maana wanapenda mchezo wa mpira( Chelsea , Man U ,etc
  • Wanapenda mpira ndio maana wanashabikia timu kama arsenal barcelona

Nimeshangaa watu hao hao arsenal huwa ikifungwa na chelsea au Manu japo wanakuwa wamecheza kandanda safi, wametoa passi kibao hawatoi sababu kama walizotoa jana kuwa ohh bahati. ohhhhh

Jamani hata kama tunashabikia timu tuweke mapenzi ya mchezo wa soka mbele na tuwe fair kwenye analysisi zetu.( Ujumbe huu ni wa man u na chelsea)

Hakuna mechi ambazo pass za timu zainazung gumziwa sana.Ni kwa sababu jana zilikuwa zinacheza best passing team. Pundits hawawezi kujiangisha kulinganisha pass completed kati ya barcelona na na Man u Au arsenal na Ac Milan. Yes barca walicomplete pas nyingi lakini umuhimu wa kulinganisha ulikuwepo sababu arsenal nayo ni passing team sio man u wala Chelsea ambao they dont know to entertain.

NB
If u love football then u should like the like to watch arsenal and barcelona not matter wich club u support

But if love football club more than football game then ................
 
Football is not about passing man!!

Football is all about scoring goals and winning trophies no matter how complete passes are there in matches.

It is a pity that the Gooners oooppss the Gunassers satisfy themselves by claiming to be an entertaining team to watch (due to great number of complete passes in their games).
 
...ha ha ha, football is a beautiful game,....

gym%20bag%20sets%20001.JPG

...ukiwa tayari nitumie details, p & p (packing & postage) zote ni kwa gharama zangu!

Eee bana Mbu mimi nitumie jezi ya Robin van Pussy, nakutumia details zangu kwenye PM. Come on you Fart Arse!!
 
Mkipita nyie; humu ndani patakuwa hapatoshi JF....ni mna kelele nyie sijapata ona.....

Ikipita Barca najua ile ndoo lazima wabebe msimu huu wale wahuni...na mm sitaki hata kuwasikia..

Ata sijui niwe upande gani sasa......

Msaada tutani.

Donge hilo linywe basi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
...ha ha ha, football is a beautiful game,....

gym%20bag%20sets%20001.JPG

...ukiwa tayari nitumie details, p & p (packing & postage) zote ni kwa gharama zangu!
Ofa kama hizi zinatembea kwa PM mkuu..ona sasa nashindwa hata ku-comment. Hufai ww. Lol!
 
Eee bana Mbu mimi nitumie jezi ya Robin van Pussy, nakutumia details zangu kwenye PM. Come on you Fart Arse!![/QUOTE/]

Kwenye bold hapo mkuu una haki ya kumtukana, manake vitu anavyo fanya ukilinganisha na lile galasa lako la Pound Million 50, ni vitu viwili tofauti.

http://www.google.com/imgres?imgurl...a=X&ei=AXtdTdGnFc7pgQfOhdn_DA&ved=0CBoQ9QEwAg
torresreu_1820200c.jpg

Mbona uko sensitive sana inapoongelewa Arsenal mkuu? Sijamtukana, van Pussy ni jina tu kama yalivyokuwa majina mengine ya kina Drog the Bar, Wine Rooney,....the list goes on. Just enjoy a taste of your own medicine.
 
Mwaka huu hatujafungwa na kimburu yoyote yule ... tangu tulipowachabanga pale Emirates umekuwa na Wivu sana stress zitakuua. Fikiria jinsi ya kumfukuza bundi pale kwenye makuti. Chacha lini utakuwepo kwenye cow shed? khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Gutierez naona unachunguliaaa kwa mbali mkuu, usiogope toe maoni yako au kama huna toa pongezi ndio mpira huo.
 
Tukisha wachapa Barca utakuja na hadithi nyingine. What a loser hii yote ni kuwanga na kuhofu kwamba vijana wa Emirates wanapeta. The boys are ready .... .... ..

Yaani mimi nataka timu zote ziwe na wachezaji wake wa kutegemewa ili kusiwe na excuse za kitoto.......mtu akichapwa iwe flat and square walizidiwa maarifa.
Kila la kheri kesho jamani:coffee:

Chacha hiyo J5 tunamchapa Barca chijui utasema nini? BTW J5 itakuwa halftime tu mambo yote ni kule Spain ndio fainali.

Nakualika Emirates J5 uje ona soka linavotandazwa katika wanja la kimataifa sio kile cha kwenu chenye matuta. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Naona tangu tuwakung'ute Barca umeadimika khe khe kheeeeeeeeeee

Naona umeanza tayari kutafuta sababu kwa kusema J'tano ni halftime tu, hiyo itategemea umekunywa goli ngapi. Nakuonea huruma maana Arsenil ndio timu pekee haijawahi kuitoa Barca among the traditional "big four", na kwa muziki wa Barca wa sasa na hiyo beki yenu ya kuungaunga sijui nini kitatokea!

I can't waste my time coming to Emirates, it's more of the library than a football stadium (been there twice), full of Prawn sandwich brigade Arsenal plastics, zero atmosphere. Ahsante kwa offer, nitaangalia home.

Peasant Cech mambo ya Emirates vipi unaweza linganisha na cow shed yenu?

gun__1298024074_5.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
 
naona mada imebadilika ila hata msemeje ARSENAL NI TIMU YA UKWEL
 
Mwaka huu hatujafungwa na kimburu yoyote yule ... tangu tulipowachabanga pale Emirates umekuwa na Wivu sana stress zitakuua. Fikiria jinsi ya kumfukuza bundi pale kwenye makuti. Chacha lini utakuwepo kwenye cow shed? khe khe kheeeeeeeeeeeee

Sioni uhusiano kati ya swali lilomuuliza AW na jibu lako, naona unavamia mkuki kwa mbele.
There are more important issues in my life than a footy game, I can't see how I'll be stressed? Arsenal ndiyo mna records za kuwa stressed na issue za timu yenu hata wengine kufikia kujiua. I can bet my mortgage you (Wacha) are going to do a Omondi if Arsenal fail to win a single trophy this year cause you sound very depressed.
 
Peasant Cech mambo ya Emirates vipi unaweza linganisha na cow shed yenu?

gun__1298024074_5.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

Najua kwamba Emirates ni uwanja mzuri, na mpya zaidi katika EPL. Matatizo pekee ya Emirates ni haya:
1. Unamilikiwa na wrong team, uwanja unadeserve vikombe lakini mpaka leo hakuna hata kikombe kimoja, aibu:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
2. Washabiki wa Arsenal wameugeuza uwanja library, pathetic:sleepy::sleepy:.
 
Tupe mji basi tuwauzie kwa bei poa? Ili muachane na cow shed yenu tutauhamisha tu unasemaje?
 
Sioni uhusiano kati ya swali lilomuuliza AW na jibu lako, naona unavamia mkuki kwa mbele.
There are more important issues in my life than a footy game, I can't see how I'll be stressed? Arsenal ndiyo mna records za kuwa stressed na issue za timu yenu hata wengine kufikia kujiua. I can bet my mortgage you (Wacha) are going to do a Omondi if Arsenal fail to win a single trophy this year cause you sound very depressed.

khee ekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mbaazi akikosa maua bana Wacha WIVU! Barca wameharibu wiki yako ulikuwa na matarajio, chacha vipi kesho? Bundi bado yupo darajani?
 
Back
Top Bottom