Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger hana jinsi inabidi hawaite nasri na fabregas kutafuta ushindi. Huu mchanganyiko wake wa pili umekosa mpishi kabisa.


Nategemea hatoitumia hii list kwenye Carling Cup final .

The thing is wakipata Injury TUMEKWISHA......kuna very tight fixture coming up...................
 
Hii mechi hata sielewi Wenger atafanyaje manake kufunga haiwezekani, kina Bendt, schamakh na Arshavin wamekuwa vibogoyo tu. Nahii ndo aibu, ina maana bila Nasri, Fab au Persie hatuwezi funga?
 
Nafikiri umeshapata jibu katika hii half ya kwanza kama wameweza au hawajaweza..................

Kila mechi wanashindwa ku-connect na naona Wenger bado hajapata solution manake anaendelea kuwapanga same way. Ni wachezaji wawili ambao wana style moja na wote ni wazuri wakiwa kati. Sasa unampompeleka Ben pembeni hana uwezo wa kumlisha Chamack matokeo yake wote wanabakia kuruka ruka tu. Kingine hakuna mtu mwenye uwezo wa ku-hold mpira, kila mtu anapoteza poteza na pasi mbovu kitu ambacho kinasababisha kushindwa hata kufanya mashambulizi.

Gibbs naona anakuwa open mara nyingi lakini hamna mtu anayejaribu kupeleka mpira kwake kutanua uwanja , kila mtu analazimisha mpira kati pale ambapo jamaa wamejaa.
 
The thing is wakipata Injury TUMEKWISHA......kuna very tight fixture coming up...................

Hawa wengine wangeweza kuconnect na kushinda mechi kama hizi ingekuwa powa sana kwa ma-star wetu wanapata mda wa kupumzika.
 
I doubt hawa watu watakuwa wanatafuta replay at emirates (for money)
 
Mambo hayo Wakuu tukipata kamoja kangine basi itakuwa poa sana
 
mkuu sometimes ni vigumu kuwapanga wachezaji ambao hawachezi pamoja kila wiki na kutegemea wataconnect vizuri. Mambo hayo ndio yaliyotukumba jana.

Naelewa mkuu lakini hii timu nayo hawachezi kitu chochote uhuru wametupa ni sisi tu.


Nyie jana hile timu walikuwa wanakipiga nao.Walicheza mpira mzuri hawakua na bahati tu.
 
Sasa naona watacheza ball possession 95% watoto kama ilitakiwa wapigwe si chini ya goli 5
 
Safi Masa uwe unatembelea majukwaa mengien kujifariji manake darajani ni mwaka wa shetani

Kuna upepo mbaya sana kule! Nina offer ya CL final Wembley Chelsea isipofanikiwa nitaiuza eBay!
 
Back
Top Bottom