Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 5,003
Mambo hayo Wakuu tukipata kamoja kangine basi itakuwa poa sana
Yah mkuu manake hawa madogo lazima kuwachapa zaidi ya moja wasijesawazisha dakika ya mwisho!
Mambo hayo Wakuu tukipata kamoja kangine basi itakuwa poa sana
Najua copenhagen watawafanya vibaya kabla ya kuiweka on sale ntakutafuta tu
Ahsante Mkuu mbona umepotea hivyo? Mzima lakini? Pole na shughuli za jana.
Hongereni!
I was sick mate baada ya jamaa kusawazisha!
Yah mkuu manake hawa madogo lazima kuwachapa zaidi ya moja wasijesawazisha dakika ya mwisho!
Pole sana Mkuu, natumai wale MANU mtawafanya vibaya
Yah mkuu manake hawa madogo lazima kuwachapa zaidi ya moja wasijesawazisha dakika ya mwisho!
Huyu dogo Miquel kajitahidi sana.Atafaa huko mbeleni.
Si unakumbuka ile ya jana maana, miye nilidhani Chelsea ndiyo wameshashinda lakini kibao kikageuka na kwenye miguu kumi na mbili ya mtu mzima mwenye akili timamu chochote kile kinaweza kutokea.
Pole sana Mkuu, natumai wale MANU mtawafanya vibaya
Sina imani jamaa watatuchapa!
Sina imani jamaa watatuchapa!
Sina imani jamaa watatuchapa!
Hata mimi ninafeeling kubwa kuwa mnawapiga Man U ila msimchezeshe joka la kibisa Torres
Kwa jinsi mnavyocheza sasa hivi hilo linawezekana kabisa inaelekea kama wacheza wameshakata tamaa, lakini nadhani watataka kuonyesha pride kwamba wasidharauliwe kiasi hicho pamoja na matokeo ya siku za karibuni. Kama watacheza kama timu na kujituma basi itakuwa mechi nzuri sana ya kuvuta nikuvute tangu mwanzo hadi mwisho.
Hawa watoto tukizubaa wanatuchapa....isije ikawa kama yaliyotokea jana darajani...
Hawa watoto tukizubaa wanatuchapa....isije ikawa kama yaliyotokea jana darajani...