Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

2le leo valentine na kesho 2shnde au co pipo 2hakikishe 2nashnda arsenal oyeee
 
ushnd we2 kesho baba yake hakuna cha baka waka kabaka nikugonga 2 kwenda mbele au co mai pipo ARSENAL JUUUU
 
Habari njema kwa wakuu wa gunners.

Samir Nasri has been included in the Arsenal squad for Wednesday's UEFA Champions League showdown with Barcelona after returning to training.
 
Yaani mimi nataka timu zote ziwe na wachezaji wake wa kutegemewa ili kusiwe na excuse za kitoto.......mtu akichapwa iwe flat and square walizidiwa maarifa.
Kila la kheri kesho jamani:coffee:
 
Kweli wajomba mechi ya kesho mmeipania kinoma noma....haya bana all the best maana mkiwatoa Barca mnarahisisha njia.
 
Yaani mimi nataka timu zote ziwe na wachezaji wake wa kutegemewa ili kusiwe na excuse za kitoto.......mtu akichapwa iwe flat and square walizidiwa maarifa.
Kila la kheri kesho jamani:coffee:

Tukisha wachapa Barca utakuja na hadithi nyingine. What a loser hii yote ni kuwanga na kuhofu kwamba vijana wa Emirates wanapeta. The boys are ready .... .... ..
 
Habari njema kwa wakuu wa gunners.

Samir Nasri has been included in the Arsenal squad for Wednesday's UEFA Champions League showdown with Barcelona after returning to training.

The lad has been passed fit for tonight's battle.......This means Arshavin ataanza benchi....Ukitoa Sagna ambae ana Kadi nyekundu....so atamiss game ya leo...na Mpoki atakua right back.....Ila simuamini sana jamaa.......
 
2hydve8.jpg

...COME ON ARSENAL!!!

TOGETHER WE STAND!!!...
 
Hodi humu ndani!
Naulizia tiketi za mechi ya badae, nitapata wapi?
 
enheeeeee Leo ndio leooooooo. Van parsieee lazima afanye mambo

Arsenal Starting line-up

  • W. Szczesny
  • E. Eboué
  • L. Koscielny
  • J. Djourou
  • G. Clichy
  • C. Fábregas
  • A. Song
  • J. Wilshere
  • T. Walcott
  • A. Arshavin
  • R. van Persie
Barcelona Starting line-up

  • Víctor Valdés
  • Dani Alves
  • G. Piqué
  • E. Abidal
  • Maxwell
  • S. Busquets
  • Xavi
  • A. Iniesta
  • Pedro
  • D. Villa
  • L. Messi
Source Arsenal v FC Barcelona | Champions League 2010-2011 - Yahoo Eurosport UK
 
Hodi humu ndani!
Naulizia tiketi za mechi ya badae, nitapata wapi?

Subiri ufurahie kuangalia KANDANDA leo,sio butua butua ulizoea.Timu 2 zinazocheza mpira wa kuvutia duniani zinakutuna kutumbuiza ulimwengu wa soka.

Kama una mtu unamjua hapendi mpira hii ni nafasi nzuri sana ya kumshawishi ajiunge na ulimwengu wa soka.
 
Kila nikirudisha kumbukumbu zangu za kihistoria nyuma dhidi ya Barcelona, naona hawa jamaa
wanatutoa kwenye raundi hii na hakuna ubishi. Mfano nimejiuliza-Hivi hata kama tunawafunga goli 1
au 2 au tunawafunga 2 kwa 1, Je tukienda Nou camp tutatoka? Tuache ubishi jamani ukweli ni kwamba
hatuwawezi Barca ng'o!. Maana Barca watakuwa wanajivunia ujuzi wao katika soccer wakati sisi tunaomba
kudra za miujiza kutoka kwa mungu tu. Kusema kweli kila tunapokutana na hawa wadudu huwa nachanga
nyikiwa sana,lakini mwishoni huwa nakubali matokeo kuwa Barca kwa karline hii hatuwawezi. Kwanza nikivuta
hisia za kelele za mashabiki wa Barca kwenye mechi ya marudiano pale kwao ndio kabisaaaaaaaa nakubali kuwa
wametutoa!
 
mshika chuma usikate tamaa mapema... Hao barca wanafungika...ni kujipanga vizuri tu.
 
Subiri ufurahie kuangalia KANDANDA leo,sio butua butua ulizoea.Timu 2 zinazocheza mpira wa kuvutia duniani zinakutuna kutumbuiza ulimwengu wa soka.

Kama una mtu unamjua hapendi mpira hii ni nafasi nzuri sana ya kumshawishi ajiunge na ulimwengu wa soka.

Last season mlikutana hakuna cha mpira mzuri ,tulishuhudia timu moja ikizidiwa sana labda tusubiri leo
 
Kila nikirudisha kumbukumbu zangu za kihistoria nyuma dhidi ya Barcelona, naona hawa jamaa
wanatutoa kwenye raundi hii na hakuna ubishi. Mfano nimejiuliza-Hivi hata kama tunawafunga goli 1
au 2 au tunawafunga 2 kwa 1, Je tukienda Nou camp tutatoka? Tuache ubishi jamani ukweli ni kwamba
hatuwawezi Barca ng'o!. Maana Barca watakuwa wanajivunia ujuzi wao katika soccer wakati sisi tunaomba
kudra za miujiza kutoka kwa mungu tu. Kusema kweli kila tunapokutana na hawa wadudu huwa nachanga
nyikiwa sana,lakini mwishoni huwa nakubali matokeo kuwa Barca kwa karline hii hatuwawezi. Kwanza nikivuta
hisia za kelele za mashabiki wa Barca kwenye mechi ya marudiano pale kwao ndio kabisaaaaaaaa nakubali kuwa
wametutoa!

Ujuzi huu kama unao kwa nini unahangaika kwenye JF badala ya kwenda kutengeneza mpunga? On my opinion naona kama unawasikia tu vijana wa Gunners na hujakutana nao ana kwa ana wakilisakata soka. Leo ndio utajua zipi ni mbivu katika kipindi cha dakika 90.

Khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Last season mlikutana hakuna cha mpira mzuri ,tulishuhudia timu moja ikizidiwa sana labda tusubiri leo

Wacha tarumbeta wewe kaa ufaidi kabumbu, vinara wa soka wanapokutana wewe kaa kimya khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Last season mlikutana hakuna cha mpira mzuri ,tulishuhudia timu moja ikizidiwa sana labda tusubiri leo

Umesahau kuwa man u mlipokutana nao mwaka juzi possession ilikuwa 91 kwa 9 ya mau u. Mumshukuru mungu hamjapangwa kukutana na barsa. Kwetu cc poa tu manake umri wa wachezaji uko sawa na mpira unaendana. busara kwa wachezaji na utegemee mprira safi sana. Ni kama fainali hii!
 
Hivi hizi statistics uwa mnazitoa wapi? Kwa makusudi umeamua kutulisha kasa....kwenye final ya 2009 ball possession ilikuwa barcelona 51% man utd 49%.
 
Back
Top Bottom