Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya ndugu zangu watani, AW, Mbu, Mbu, Quest, Blntd, Michelle, Kweli, Wacha1 et al.....hongereni kwa ushindi mwembamba. Mnastaili pongeza za dhati kwa kweli.
Alamsiki. :clap2::clap2::clap2: Gunnaz..
 
90 MINUTES DOWN, 90 TO GO IN NOU CAMP!
KWA SASA NI KUSHANGILIA TU, POTELEA MBALI!!!

WACHA1, Upo wapi kakaaaaaa? walikuwa weshakuvisha sanda hawa 'wafuga bundi', wabaya sana watu hawa...
halafu leo nimegundua kuna members wapya waliokuwa wanatupiga madongo, comments zao zipo humu, be ready for retribution guys,...sikujua nyie ni mashabiki wa mpira! ha ha ha!
sasa ni mwendo wa mapicha tu mpaka kieleweke!...
 
Leo halali mtu,yaaaaaaani,Oh God,Mungu huwainua wanyonge......tulisemwa sana jamani,ooooooh God,nikushukuruje Mungu......

Furaha ya leo,sijui itafutwa na nini!!!! VIVA ARSENAL,am proud of you and will never regret supporting you hata msiposhinda vikombe kwa miaka 20.....................am happy........MUREFU,QUEST,KWELI,ARSENE WENGER and all other arsenal fans.........CHEERS!!!!
 
Inshallah tumepewa penati............................hahaaaaaaaaaaaaaaa 1-1

I told you dude kwenye facebook kwamba ni 2-1....You know what, marudio ktakachotokea...Tutakuwa tunaongoza 1-0 mpaka dkk ya 90, jamaa watapata penati...watasawazisha...mpaka mwisho itakuwa 1-1. Kwakuwa tumewafunga 2.1, inakuwa jumla 3-2...umeona hapo..Wanatoka, sasa kila timu inaogopa kupagwa na Arsenal.....hahahahhahahahahahhahahahahha...Acha kelele wewe...Eti Arsenal wanakamilisha ratiba,,,,,,,,,leo watafungwa....hebu lala huko.............Next....niku chinja tu...

On the other side...Poleni watu wa Gongolamboto, poleni watanzania
 
hongereni watani ila jichekini sana mid fielders wenu sio......cheers
 
WAAAAAW powa powa washika bunduki.

man of the match nani gunners wenzangu jama kwangu ni Jack wilshare.
 
Arsenal manager Arsene Wenger: "It is one of the special nights. The game promised a lot and it didn't disappoint. It was a game between two special teams in my opinion. We suffered in some spells during the game but never gave up. We have shown special strengths and shown great resilience. We will go the Nou Camp now and play our game again because we cannot go their and defend. We will go and give our best." BBC

More to come at Camp Nou...........
 
cheki possession kati mlipwaya sana....you guys have to kusajili people worthy their names mtafika mbali!.....big up sana kwenu...

Tulikuwa hatuchezi na chelsea au man u kaka. Jack wilshare ni man of the match alikuwa midlfilder bora leo kwenye mechi. Au wewe ukiambiwa mildfilder bora mechii ya leo utachagua nani ?
 
Barcelona manager Josep Guardiola: "It was a fantastic game. Both teams had many chances. It's a pity [to lose] but we knew Arsenal are a very good team and dangerous on the counter-attack. However, I think we more or less controlled the game and we just need to create the chances we did tonight in the Nou Camp and then take them. It will be an open game I am sure. Yes we have lost tonight, but we still have the second leg." BBC
 
Huyu mganga wa Arsenal mzuri kweli kweli hehehe ball possession 67% to Arsenal's 33% ngoma bado 1 - 0.

ha ha ha, hata kama ...final score inasemaje sasa?
leo "Barca-Matador" kashikwa pabaya bana!

JoseTomas1LFI_468x552.jpg
 
Leo halali mtu,yaaaaaaani,Oh God,Mungu huwainua wanyonge......tulisemwa sana jamani,ooooooh God,nikushukuruje Mungu......

Furaha ya leo,sijui itafutwa na nini!!!! VIVA ARSENAL,am proud of you and will never regret supporting you hata msiposhinda vikombe kwa miaka 20.....................am happy........MUREFU,QUEST,KWELI,ARSENE WENGER and all other arsenal fans.........CHEERS!!!!

kama ulivyosema halali m2 wame2sakama sana yan huwez amin niliweka BID ikijua 2nashnda ila walionikatisha tamaa ndo nimewala pesa yao ha,ha,ha,ha,haaa yan hk kibaka ndo kilikuwa kinaninyma nisiongee kisa kamfunga m2 tano leo mm nimemfunga 2 na kwake nitamfunga 4 yan nimwendo huo
 
lower your expectations
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee ngoja nivute kiti kwanza ..... ........ ..... niwasome wanoko khe khe kheeeeeee ni halftime hivi sasa .... ..
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee ngoja nivute kiti kwanza ..... ........ ..... niwasome wanoko khe khe kheeeeeee ni halftime hivi sasa .... ..

....karibu karibu bro,....'meerkats' wanoko walijaa humu leo aisee, duuuuhhhhh!
I didnt know 'tunaombewa gundu!' kama tulivyokuwa tunasakamwa zile dakika 60 za mwanzo wa mchezo.

Peasant sikumuona, lakini 'Mchungaji' alikuwa anapiga vuvuzela humu. Upepo ulipobadilika mbio naye kakimbia na Bundi wake...
Haya bana, mimi ngoja niweke mikoba pembeni, uwanja ni wako sasa.
 
lower your expectations

ila umeelewa hv ingekuwa vp kama MAN U na nyny mngekutana na barcelona c mngefunga website yenu kudadek kama walivyofanya Man city wakat mnacheza nao ila 2ache uwongo man mngefungwa mana mpira hamjui ila mnategemea kubebwa kama yanga bongo
 
....karibu karibu bro,....'meerkats' wanoko walijaa humu leo aisee, duuuuhhhhh!
I didnt know 'tunaombewa gundu!' kama tulivyokuwa tunasakamwa zile dakika 60 za mwanzo wa mchezo.

Peasant sikumuona, lakini 'Mchungaji' alikuwa anapiga vuvuzela humu. Upepo ulipobadilika mbio naye kakimbia na Bundi wake...
Haya bana, mimi ngoja niweke mikoba pembeni, uwanja ni wako sasa.

Mkuu si unajua tena siwezi kosa mechi kama hii Emirates mwaka jana walitugalagaza lakini mwaka huu tulikwishasema lazima kieleweke safi sana nafahamu mafioso team wengi walifikiri leo watakuwa na sherehe kumbe imekula kwao.
 
Kwa neema za mwenyezimungu tumeshinda! Furaha ambayo ninayohapa mungu ndiye anajua.
Hakika tulistahili ushingi na leo mungu alikuwa upande wetu. Kama ni kutufunga na kututoa basi
ni bora wakatutolee huko kwao Spain lakini si our home london. Shame on u Barcelona.
Jamani hakuna vitu ninavyovichukia hapa duniani kama Manchester united,Barcelona, na CCM.
 
Back
Top Bottom