Mich hebu jaribu na vingine huenda ni vitamu zaidi! Karibu Chelsea utakuwa karibu nami baba wa kiroho
MM sio shabiki wa Arsenal ila mwamuzi wa pambano la jana la Arsenal na Newcastle alikuwa very biased! Maamuzi yake yalikuwa yanafuata kelele za mashabiki wa NC. Ni mara nyingi kama mliangalia vizuri yeye na mwamuzi wa pembeni (mshika kibendera) maamuzi yao yalikuwa yanatofautiana sana! Pia penati ya pili was a disgrace! haikuwa halali kabisa. Ila ndio mpira.
Siku ya kufungwa lazima ufungwe yaani kila kitu kinakuwa against you marefa,upepo.Nlilivyoona mnaongoza 4-0 nikasema leo mtashinda hata goli 12 kwa ile spidi na jinsi Newcastle walivyokuwa vibonde tangu Caroll ameumia.Safari bado ni ndefu sana ligi inazidi kuwa tamuMM sio shabiki wa Arsenal ila mwamuzi wa pambano la jana la Arsenal na Newcastle alikuwa very biased! Maamuzi yake yalikuwa yanafuata kelele za mashabiki wa NC. Ni mara nyingi kama mliangalia vizuri yeye na mwamuzi wa pembeni (mshika kibendera) maamuzi yao yalikuwa yanatofautiana sana! Pia penati ya pili was a disgrace! haikuwa halali kabisa. Ila ndio mpira.
Wakuu dua zenu zinahitajika kumuombea Djouro apone goti haraka hiwezekanavyo.
"If the opportunity turns up we will fetch it but, if not, I believe we can cope." he told Arsenal.com.
We have solutions internally with Ignasi Miquel, with Alex Song who can play centre back..." - Arsene Wenger, Jan 12, 2011.
Cultured Catalan centre back Ignasi featured 12 times for Arsenal Reserves last term, captaining the team towards the end of the season.
- Born
September 28, 1992- Barcelona, Spain
- Position
Defender- Joined Arsenal
September 01, 2008
Ideally suited to a side that likes to play football from the back, Ignasi is also strong in the air and has represented Spain at youth level. He played for the first team against Barnet during pre-season and could be in line for a Carling Cup debut in the near future.
Wenger amekuwa anampigia debe siku nyingi kutokana na connection yao ya miaka mingi enzi akiwa kocha wake mpaka kufikia kufundisha kilabu chake cha Nagoya Grampus na anajua ataweza kum-kontroo katika mambo yote ya transfer na bajeti.
Arsene Wenger has admitted that he sees Dragan Stojkovic as the ideal candidate to succeed him at Arsenal...
Arsenal is in control!
Hongereni sana majirani, naona mambo uhakika tayari....hahahahaha! The guy sounds like Wacha1.
 
Mbona unamwonea Wacha1, the way I know Wacha1 he doesn't sound like that. Pole kaka .... ..khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW ni wewe na swaiba wako ndio mnaosema Arsenal wako kwenye control au vipi?
Kwa hiyo leo unamkana mshikaji wako Comical Ali (Mohammed Saeed al-Sahhaf)?!! OK, maandiko ya Woolwich yanasema utamkana mara tatu kabla bundi hajatua Emirates Jumatano 19:45 GMT.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe hata hujui nani ana-mcontrol Bundi pole sana peasant you're a loser, bad loser for that matter. It shows how immature you are .... ..kabumbu tumewashinda iliyobaki ni donge linywe basi khe khe kheeeeeeeeeeeeee
Chacha hiyo J5 tunamchapa Barca chijui utasema nini? BTW J5 itakuwa halftime tu mambo yote ni kule Spain ndio fainali.
Nakualika Emirates J5 uje ona soka linavotandazwa katika wanja la kimataifa sio kile cha kwenu chenye matuta. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naona umeanza tayari kutafuta sababu kwa kusema J'tano ni halftime tu, hiyo itategemea umekunywa goli ngapi. Nakuonea huruma maana Arsenil ndio timu pekee haijawahi kuitoa Barca among the traditional "big four", na kwa muziki wa Barca wa sasa na hiyo beki yenu ya kuungaunga sijui nini kitatokea!
I can't waste my time coming to Emirates, it's more of the library than a football stadium (been there twice), full of Prawn sandwich brigade Arsenal plastics, zero atmosphere. Ahsante kwa offer, nitaangalia home.
Naona umeanza tayari kutafuta sababu kwa kusema J'tano ni halftime tu, hiyo itategemea umekunywa goli ngapi. Nakuonea huruma maana Arsenil ndio timu pekee haijawahi kuitoa Barca among the traditional "big four", na kwa muziki wa Barca wa sasa na hiyo beki yenu ya kuungaunga sijui nini kitatokea!
I can't waste my time coming to Emirates, it's more of the library than a football stadium (been there twice), full of Prawn sandwich brigade Arsenal plastics, zero atmosphere. Ahsante kwa offer, nitaangalia home.
Ati ulikuja Emirates haturuhusu wauza unga pale khe khe kheeeeeeeeeeeeeee