NAONA MPAMBANO WENU WA KUGOMBEA NAFASI YA 10 UNAZIDI KUWA MGUMU...Hii game sare hii!
Tumecheza vizuri.
Mungu atatujaalia tuta toka tulipo.NAONA MPAMBANO WENU WA KUGOMBEA NAFASI YA 10 UNAZIDI KUWA MGUMU...View attachment 1708592
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kila mtu alifikiri tutaoga migoli. Haijawa hivyo, tulitarajiwa kupaki basi haijawa hivyo.Kiasi Fulani
Hivi ukiwa nafasi ya pili kwenye ligi unapata nini?
Mshindi wa piliHivi ukiwa nafasi ya pili kwenye ligi unapata nini?
Umeongea point kubwaHello Guys.
Nilivyokuwa mapumzikoni nilipitia nyuzi za 'warembo wakali' na 'kimasihara' na zilisaidia kupunguza stress za Arsenal yetu. Nimekuta kuna wadau wa humu kule pia na ni wachangiaji wazuri tu kule. Ningewashauri wengine humu wakapitie kule huenda watapunguza stress kidogo.
Tuendelee na club yetu maana potential ipo. Kazi kwao kuimarika na kazi kwetu kushabikia na pale tunapokosoa tusisahau ubinadam.
Unapata nini?Mshindi wa pili
Mzaha wa ngumi huu!
Sawa mkuu hahahahahaHello Guys.