Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilishindwa kuvumilia nikaunga tera kipindi cha pili. Game imeisha ila nikawa bado naangalia wachezaji wanavyopongezana. Sina tabia hii ila leo imebidi.

Msimu uliopita tulitolewa kwa late goal ya Olympiacos. Leo tumefuzu kwa kuwatoa Benfica kwa late goal, tena tumetoka kuongozwa 2. Huu ushindi nimeufurahia kuliko ushindi tuliopata kwa vibonde wetu chelatako na manyumbu.

Beki yetu na mawasiliano ya timu ni ya kuangaliwa. Goli limetokea upande wa Bellerin, pia kuna tatizo la mawasiliano wachezaji wapo wawili ila wanashindwa kubaki na mpira.

Saka anatakiwa aongeze kurelax ndani ya box. Lile shuti alilopaisha saa hii tutatetea kwa vile ni mguu wa kulia lakini angerelax akageuka na kutumia left ingewezekana kwakua ndani ya box mabeki wanakua wanahofia kuconcede penati. Second time karelax katoa assisst.

Wakati tupo 2 kwa 2 ni wachezaji wa Benfica 4 tu walikua wanakuja kushambulia, cha tatu kilivyoingia ikawa wachezaji 7 wanakuja kushambulia.

Oh leo Willian katoa assisst ashukuriwe kwakweli.

On to the next one.
 
insta_2517115911333225845.jpg
insta_2517115911316609552.jpg
 
Next game na Leicester ni Jpili.

Jana Leicester kapigwa 2 bila na Slavia Prague, hata hivyo alimiliki sana mpira sababu pekee nilibeti Slavia atashinda ni kwavile niliona Leicester anacheza 4 1 4 1 wakati siyo formation yao.

Kingine Leicester wana mtindo wa kupaki basi na kuvizia kaunta. Last game ndiyo walichotufanyia Mustafi akazingua Vardy akapeleka ushindi kwa Leicester. Kwa sasa hakuna timu yenye matumaini ya kuchukua ligi kuliko City hivyo kudhani Leicester walikubali kufungwa jana ili kujiweka sawa kwenye ligi siyo kweli.

Wameshindwa kwakua they weren't good enough. Hata sisi naona tukishinda kama tutakua na clinical finishers na beki yetu ikiimprove tutajihakikishia clean sheet. Full backs zinakatika na CBs hawana mawasiliano.

Jumapili tunashinda.
 
Timu zilizopita kwenda 16 bora ni hizi÷

AC Milan (ITA)
Ajax (NED)
Arsenal (ENG)
Dinamo Zagreb (CRO)
Dynamo Kyiv (UKR)
Granada (ESP)
Manchester United (ENG)
Molde (NOR)
Olympiacos (GRE)
Rangers (SCO)
Roma (ITA)
Shakhtar Donetsk (UKR)
Slavia Praha (CZE)
Tottenham (ENG)
Villarreal (ESP)
Young Boys (SUI)

Itafanywa draw leo ya kuamua nani acheze na nani ambapo first leg ya hizo mechi itachezwa tarehe 11 mwezi wa 3 na marudiano yatakua siku saba mbele yaani tarehe 18.

Hapa tulipo kila timu ni bora, atakayekosea kapasuka.
 
Timu zilizopita kwenda 16 bora ni hizi÷

AC Milan (ITA)
Ajax (NED)
Arsenal (ENG)
Dinamo Zagreb (CRO)
Dynamo Kyiv (UKR)
Granada (ESP)
Manchester United (ENG)
Molde (NOR)
Olympiacos (GRE)
Rangers (SCO)
Roma (ITA)
Shakhtar Donetsk (UKR)
Slavia Praha (CZE)
Tottenham (ENG)
Villarreal (ESP)
Young Boys (SUI)

Itafanywa draw leo ya kuamua nani acheze na nani ambapo first leg ya hizo mechi itachezwa tarehe 11 mwezi wa 3 na marudiano yatakua siku saba mbele yaani tarehe 18.

Hapa tulipo kila timu ni bora, atakayekosea kapasuka.
Nileteeniii Nyumbu f.c
 
Timu zilizopita kwenda 16 bora ni hizi÷

AC Milan (ITA)
Ajax (NED)
Arsenal (ENG)
Dinamo Zagreb (CRO)
Dynamo Kyiv (UKR)
Granada (ESP)
Manchester United (ENG)
Molde (NOR)
Olympiacos (GRE)
Rangers (SCO)
Roma (ITA)
Shakhtar Donetsk (UKR)
Slavia Praha (CZE)
Tottenham (ENG)
Villarreal (ESP)
Young Boys (SUI)

Itafanywa draw leo ya kuamua nani acheze na nani ambapo first leg ya hizo mechi itachezwa tarehe 11 mwezi wa 3 na marudiano yatakua siku saba mbele yaani tarehe 18.

Hapa tulipo kila timu ni bora, atakayekosea kapasuka.
It's ArsenaL vs Rangers
 
Back
Top Bottom