Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,242
- 76,781
Siku bado zipo. Huyo kocha wa kawaida tu mtazichoka komedi zake soon.Bc wasicheze rafu ili tushinde bila penalti
Siku bado zipo. Huyo kocha wa kawaida tu mtazichoka komedi zake soon.Bc wasicheze rafu ili tushinde bila penalti
Fanya kupiga maombi piaLiverpool kambwela Hotspurs kambwela, leo nakutegemea wewe.
#ILA MKIFUNGWA MIMI SIPO#
Bado ni ngumu mkuu" Man city naona wamepanga viungo weng sanaLineups zimetoka, kwetu inatia matumaini ya ushindi
Tupia lineup mkuuLineups zimetoka, kwetu inatia matumaini ya ushindi
Mpira dakika 90Arsenyani dakika ya kwanza mshavuliwa chupi huko
Yani leo chache ni tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpira dakika 90
Basi watavuliwa chupi mara 90Mpira dakika 90
Acha kunitisha Mkuu, unajua nimebaki peke yangu humu 😀😀Yani leo chache ni tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hawa ndio mburula kabisa, ningewaekea pesa si wangenilaza na njaa hawa!?Arsenyani dakika ya kwanza mshavuliwa chupi huko
Acha kuota weweBasi watavuliwa chupi mara 90
Waonee huruma mkuu, wape hata sare tu.Yani leo chache ni tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Timu lishajifiagaaa wewe unakomaa nalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kunitisha Mkuu, unajua nimebaki peke yangu humu [emoji3][emoji3]
Game tunashinda hii [emoji123]
Kwa kikosi gani sasa...!!Waonee huruma mkuu, wape hata sare tu.