Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Kwanini Willian na sio Pepe?
Mkuu Unakaribia kuwa mchawi
tafadhali hekima na busara zikuongoze mkuuKama mamako?
tafadhali hekima na busara zikuongoze mkuu
Kipofu kaona mwezi
Kipofu kaona mwezi
Tulia kijana ufundishwe soka
Kuna soccer gani hapo?
Hiyo tunaita ngekewa.
bahati!!!? Kwani ni biko ile au tatu mzuka...kunya anye kuku akinya bata kaharisha...acheni wivuu...😂😂😂😂Mna bahati sana