ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923
Tuko wawili mkuu.Acha kunitisha Mkuu, unajua nimebaki peke yangu humu
Game tunashinda hii![]()
Nimejaribu kuikacha mara kadhaa nimeshindwa, acha iniue tu 💪💪
Hicho hicho cha kuunga unga.
Wewe timu yako inacheza baadaye na Newcastle sio.Tuko wawili mkuu.
#ILA MKIFUNGWA MIMI SIPO#
Yani mkuu uwape arsenal kabisa utakua umejitakiaHawa ndio mburula kabisa, ningewaekea pesa si wangenilaza na njaa hawa!?
Bora awape Chelsea sio 😂😂😂Yani mkuu uwape arsenal kabisa utakua umejitakia
YaapBora awape Chelsea sio 😂😂😂
Wazee wa sare sare
Mpira bado haujaisha Chief, tunza maneno yako
HUYU GUARDIOLA ANA DHARAU SANA....ANAKUJA KUFANYIA MAZOEZI EMIRATES
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app























































































































