Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili chama hili, kesho tumpige Benfica handicap na nishaibetia kabisa,VP wakuu Leicester anakufa au hafi?
 
Leo Benifica atajua hajui

Next game nipangiwe na man u, ili kubalance ukipangiwa na mgumu basi upangiwe na wepesi wepesi
 
Hii ni kwa mashabiki wa Arsenal tu, Msimwambie, mtu. Kama unataka kuangalia mechi yetu, download app ya StarTimes halafu lipa shillings 2200. Kuingia VIP na kuona mechi. Utaweza kuangalia vipindi for 24 hrs tu.
Castr, inakuhusu.
 
mimi sioni ushamba wowote hapo boss. bongo ina mambo mengi nahata ukikosa baadhi ya vitu bado hujapitwa.
Ila kwa sasa namfikiria huyu Benfica nitamuadhibu vipi...

Duh, nimepitia mitaa yako, panatisha, na nadhani wanaotembelea kule ni wengi lakini hawaachi traces
 
Lineups out

1Leno
2Bellerín
23David Luiz
6Gabriel
3Tierney
8Ceballos
34Xhaka
7Saka
11Ødegaard
32Smith Rowe
14Aubameyang
Substitutes
9Lacazette
12Willian
17Cédric Soares
18Partey
19Pépé
21Chambers
22Marí
25Elneny
30Nketiah
33Ryan
35Martinelli
44Hein
 
Lineups out

1Leno
2Bellerín
23David Luiz
6Gabriel
3Tierney
8Ceballos
34Xhaka
7Saka
11Ødegaard
32Smith Rowe
14Aubameyang
Substitutes
9Lacazette
12Willian
17Cédric Soares
18Partey
19Pépé
21Chambers
22Marí
25Elneny
30Nketiah
33Ryan
35Martinelli
44Hein
Kutokana na Airtel kushusha vifurushi hii game siwezi kuiangalia. Ila nawaambia ukweli Lacazette na Pepe walitakiwa kuanza hii game.

Good luck
 
Hili chama hili, kesho tumpige Benfica handicap na nishaibetia kabisa,VP wakuu Leicester anakufa au hafi?
Huyu Leicester Maddison anaumwa na ndiye aliwasaidia game iliyopita. Sema Leicester ana homa ya vipindi yaani unatamani kumuamini kwakua anatokea EPL na yupo nyumbani, at least double chance ya 1st half kusema atashinda au itakua suluhu inaleta matumaini.
 
Back
Top Bottom