Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo ni siku kuu huna habari
Kuna kichaka nime jificha na mtoto wa watu tunaongopeana tuna pendana huku kila mmoja akiwa na lengo lake.

Yeye anawaza pesa yangu, na mimi nawaza papuchi yake.

Nilitegemea sasa hivi uwe tayari umeshalala.. bado unazurura tu!
 
Leo ni siku kuu huna habari
Kuna kichaka nime jificha na mtoto wa watu tunaongopeana tuna pendana huku kila mmoja akiwa na lengo lake.

Yeye anawaza pesa yangu, na mimi nawaza papuchi yake.

Kuna uzi wa kimasiala mkuu
 
Willian aliingia kuchukua nafasi ya Emile dakika ya 62. Mpaka Emile anatoka alikua amepoteza mpira mara 5 Willian akacheza kwa dakika 28, akapoteza mpira mara 6.

Odegaard game nzima alipoteza mpira mara 5. Emile ana key pass, ana shot ana duels alizoahinda Willian hana hata kimoja.

Yet kocha alimtoa Emile na kumuingiza Willian, kwanini asingeingia Pepe? Amemuingiza mchezaji ambayo vision yake katika passing ni back pass tu, hicho ndicho tunahitaji kweli?

Willian anampa nini Arteta?

Aubameyang ametimiza magoli 201. Moja kwa moja ameingia kwenye orodha ya wachezaji walioscore magoli kuanzia 200. Kuna watu hua wanamfananisha Auba na Rashford au Martial hili ni jibu lao tosha.

Lacazette amepumzishwa nafikiri as tuna game na Benfica, yeye na Emile na Pepe nahisi watakuepo kwenye starting XI. Bellerin ni mbovu sababu pekee ana ratings kubwa ni lile goli lakini magoli mawili ya Leeds yametokea wapi?

Soares anacheza vizuri namba 3 utafikiri ni left footer anacheza vizuri mpaka kelele za Tierney arudi zimetulia na tumejisahau kwamba hatuna namba 3. Ceballos kasema anataka kurudi Madrid ili akapambanie namba.

Modric, Kroos wanaishia hivyo ni sahihi kujiona ana chansi ya kutoboa kwenye kikosi safari hii.

Game na Benfica mimi naona kirudiwe hiki kikosi. Emile, Saka na Odegaard ni forward minded players Auba imebidi aadapt kilazima kama Laca alivyolazimika kubadilika. Hao watatu wakiwepo au mmoja asiwepo awepo Pepe pia ni deal poa.

Lets do this
 
Hello Guys.

Nilivyokuwa mapumzikoni nilipitia nyuzi za 'warembo wakali' na 'kimasihara' na zilisaidia kupunguza stress za Arsenal yetu. Nimekuta kuna wadau wa humu kule pia na ni wachangiaji wazuri tu kule. Ningewashauri wengine humu wakapitie kule huenda watapunguza stress kidogo.

Tuendelee na club yetu maana potential ipo. Kazi kwao kuimarika na kazi kwetu kushabikia na pale tunapokosoa tusisahau ubinadam.
 
Back
Top Bottom