Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20210124_202845.jpg


King of Emirates era, joins Fernabahçe to partner Tanzanian starlet Samatta.​
 
We wish him all the best

Nadhani suala la kugomea pay cut la mshahara mwaka Jana wakati wa Covid19 limechangia kuondoka kwake despite utetezi unaotolewa na Management ya Arsenal
Kuondoka kwake ni kupenda yeye angelibaki hadi tamati ya mkataba, ameeleza hana sababu ya kuiumiza Arsenal na Fans kutokana na wale walionfanyia ugumu kipindi chake cha mwisho.

Anaondoka bila kinyongo na anatumai vijana watanufaika na kuikuza klabu zaidi. Amesisitiza huu sio mwisho kwake, yeye ni shabiki na mdau wa Arsenal ataendelea kuipatia support na muda wowote atarejea.
 
TUKIWA TUMEMSUBIRI MARTIN #ODEGAARD KUTUA KATIKA VIUGA VYA #ARSENAL CHUKUA HII KALI YA #ARSENAL
Tangu Kocha wa #Manchester_united #Ole_gunnar_soskjaer aichukue timu kama kocha mkuu ameweza kuzifunga timu kubwa zote kwenye Ligi isipokuwa #Arsenal
#Amezifunga
#Mancheste_city
#Liverpool
#Tottenham_hotspurs
#Chelsea
#Liecester_city
#Everton
Lakini timu ya Arsenal Bado hajaifunga
Pia tangu #Arsene_wenger atoke pale #Arsenal mwaka 2018 Manchester united haijawahi kuifunga Arsenal kwenye ligi ya #EPL mpaka sasa
Tutakutana na Manchester united Jumamos tarehe 30/01/2021 saa 20:30
Manchester United ikiwa inaongoza ligi huku ikiwa katika form nzuri na kushinda kwake ndio mwendelezo mzuri wa kuendelea kuwa kileleni
Je hii mechi ya jumamosi inaenda kuvunja record au record itaendelea kutokuvunjwa!!!!?
 
Tushamgonga Livakuku bado nyinyi washika manati.
Tarehe 30 ninaimani kuna watu wataaga rasmi humu.
 
Arteta hawez kufukuzwa ,tuna project nae baada ya miaka 3,ndio atapimwa kama amefel au la
Miaka 3?kwa kuwa mid table team?mpaka sasa Arsenal haieleweki na haisomeki
Kuna member mmoja sina hakika ni nani kuna siku alisema Wamiliki wa Arsenal hawana uchungu na timu sababu hawatoi hela yao mfukoni kwa ajili ya usajili (I am not sure sana katika hili)ila ukiangalia kwa jicho la 3 Mmiliki atoe hela na timu ipate poor results tena Big team kama Arsenal sidhani kama angekubali
 
Arsenal are the second greenest club in the Premier league as per Sport Positive, who rank teams based on key environmental sustainability information which are put into different categories. #afc
 
Back
Top Bottom