Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (tamka Asno) tunashinda ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au tunaendeleza ile rekodi yetu ?
 
😂😂😂😂😂
 

Attachments

  • JamiiForums-153356287_630x621.jpeg
    JamiiForums-153356287_630x621.jpeg
    20.8 KB · Views: 7
Nafikiri tuswitch kutoka 3 4 3 mpaka 3 4 1 2.

Pepe awe hiyo 1 au kwenye 2 awe ni left striker. Akiwa 1 hii 2 wawe Auba na Laca kisha kwingine kubaki kama kulivyo.

3 4 3 imetuonyesha tunaweza miliki mpira ila hatuwezi kupenya ndani kwa wapinzani. 3 4 1 2 itawapa options hawa forwards ama kucheza one two au mmoja (pepe) awadrag opponents mpaka ndani.

Tunahitaji magoli tusiutanue sana uwanja tushaona tukiutanua hatuna uwezo wa kuubana. So tuubane tu by default.

au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom