Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hudhani kama kocha ni average? Kwa nini Wenger aliweza?
Arteta hana rekodi bado ya kumuita average au genius as hii ndiyo timu yake ya kwanza.

Lakini unaionaje City? Ina wachezaji wake muhimu na maingizo mapya lakini wanacheza makida makida.

Wenger aliitreat hii timu kama familia wachezaji walimhesabia kama baba yao alifanya mchezaji ajione ana bahati kuchezea Arsenal na siyo Arsenal ina bahati kua na huyo mchezaji.

Hicho ndicho alifanya Ranieri mpaka Leicester inachukua ligi. Wanatoka kuipiga Liva Ranieri anawapeleka nyumbani kwake wanakaa kwenye swimming pool huku mke wa Ranieri anaandaa chakula.

Morali ilikua juu.
 
Tukio la Leicester City kuchukua ubingwa ni "once in a genearation", kutoka odd ya 1:5,000 na akachukua ubingwa, ni miujiza.

Kabla ya Chelsea kununuliwa, Wenger alikuwa ndiye challenger wa Man Utd kwenye ubingwa, baada ya hapo, tajiri wa Chelsea akamleta Mou na kufanya sajili za kutosha, Chelsea ikamtoa Arsenal kwenye nafasi ya kumchallenge Man United (akabaki kwenye namba 3), then wakaja City, kwa hiyo Arsenal akasogea kwenye namba 4, wakati huo huo Liverpool na Tottenham nao wakaamka (hii ni miaka ya mwishoni Wenger hakuwa na uhakika wa top 4). Leicester naye katoka alikotoka anakaa juu ya Arsenal.

Wenger akaondoka, alipokuja Unai, aliahidiwa kupewa pesa kama timu itaingia top 4 (kama rumours tulizosikia zilikuwa sawa), top 4 akaikosa, timu ikawa siyo mkamtimsha, amekuja huyu mwamba, mambo ni yale yale.

Tunaweza kuwa tunawabebesha makocha mzigo, lakini tatizo ni kwamba timu haitaki kufanya fully investment kwenye kusajili, mnasajili kwa kulishia, mwisho wa siku zigo linamwangukia kocha.
 
Kwangu Leicester ni timu ambayo kuanguka kwake kunakuja wanategemea ari ya timu kuliko financial investment. Mmiliki wa Leeds kama ataendelea kuspend kama dirisha lililopita ataipiku Leicester.

Mfano Emery kushindwa kuingia top four kwa mechi alizokua nazo lile ni zigo la kocha moja kwa moja. Lakini mmiliki kutowahi kuspend pesa hata mara moja huo ni mzigo wake bila ubishi.

Arsenal ilishapigwa 8 na haikufanya overhaul, Barca 8 za Bayern ziliwatosha kua serious. Pengine tukipambania kubaki EPL ndiyo userious utakuja
 
Nafikiri tuswitch kutoka 3 4 3 mpaka 3 4 1 2.

Pepe awe hiyo 1 au kwenye 2 awe ni left striker. Akiwa 1 hii 2 wawe Auba na Laca kisha kwingine kubaki kama kulivyo.

3 4 3 imetuonyesha tunaweza miliki mpira ila hatuwezi kupenya ndani kwa wapinzani. 3 4 1 2 itawapa options hawa forwards ama kucheza one two au mmoja (pepe) awadrag opponents mpaka ndani.

Tunahitaji magoli tusiutanue sana uwanja tushaona tukiutanua hatuna uwezo wa kuubana. So tuubane tu by default.
 
Adjustments.jpg
 
Mashabiki ya man city inabidi uyavizie kwenye kordo za timu nyingine maana hata uzi hayana.

Wewe nilikuambia nyinyi vinabo tu. Sasa subirini muone
Hii arsenal nayo ni timu

Hili si genge la wahuni ambalo linalipwa msharaha wa bure kabisa

Nyie hamna tofauti na LIBOLO FC
 
Bellerin ana kadi za njano tano hiyo inamaanisha anakosa mechi ya leo. Xhaka pia anakosa mechi ya leo hivyo kati ya Cedric au Niles au wote wanaweza anza leo na nafikiri tutaswitch back kwenye 3 4 3.

Vinai alifanya Q&A na amejibu maswali mengi miongoni ni;
1) Anahitajika mchezeshaji.
2) Wanamsapoti Arteta 100% (Kufukuzwa siyo leo)
3) Uhusiano wa wachezaji na Arteta hauna tatizo.
4) Dressing room is fine.

Ikumbukwe Arteta alisema "I will destroy whoever is responsible for the leaks"
 
Back
Top Bottom