thephilanthropist
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 231
- 383
Spurs are specialist in what , do u remember the last time ur time won a trophy.
Jowzey: Wenger is a specialist in failure.
Jowzey: Wenger is a specialist in failure.
Mh we jamaa subiri uoneYa kumtimua Arteta siyo. Niliwauliza swali hapa hamjanijibu watani zangu. Endapo mtaweka kocha mpya akasema kwenye squad yenu ya 23+ abakiziwe wachezaji 8 tu, mko tayari kumpa kikosi kipya?
Pep aliuza wachezaji 20 ndani ya misimu miwili kabaki na wanne tu. Klopp angalia wachezaji aliowakuta ni wangapi. Angalia anachopewa Lampard. Angalia anachofanya Mourinho. Wote hao wanataka vikosi vyao.
Nyinyi mnaweza fanya hizo kitu hata ndani ya misimu mitatu?
Spurs are specialists in planning.Spurs are specialist in what , do u remember the last time ur time won a trophy.
Sawa mimi nawatakia heri. Ila siataacha kuwapa tahadhari.Mh we jamaa subiri uone
Sawa chief, hongera kwa kuwa na kikosi boraMzee umekula Maharage ya wapi?
1 ziyech = 8 Willan + 25 pepe
1 Werner = 40 Lacazette
1 Kante = 10 Partey + 20 Xhaka
1 James = 20 Hector
1 Kovacic = 100 Mo
50 Abraham = 1 Auba
1 Thiago = 20 Luiz + 150 Mustafi
Sasa kwani mi nilikua mzima? , Hakuna asiyejua ila mechi mlikamia ili mpate nafasi UL. Yan we unifunge na Chelsea hii ndio maana nasema ni ndoto za alinachaSiku ile tunakupiga FA ile ilikua Arsenal ya kuungwa ungwa kwahiyo tulia hapohapo uone utakachojipatia
Huyu shoga bado yupo tu?
Dortmund kashamfukuza wake nyie bado mnamng'ang'aniaHuyu shoga bado yupo tu?

Mods piga ban hii raia..Mchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners![]()
kuna watu mna roho ngum dunian yan we Burnley akufunge uje ujifananishe kikos chako na chelsea akat ungepaswa useme una kikos kizur kuliko Sheffield kwasababu yuko chin yakoMchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners![]()

Mods piga ban hii raia..
Arsenal ana kikosi kizuri kushinda United?..

AiseeeeeeMchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners![]()

Arsenal wanamlaumu Ole kwa kuvurunda kwa timu yaoBaada ya kufungwa na Burnley tena Emirates kwa Burnley ambaye hakuwah kushinda hapo zaidi ya miaka 40 kwa sasa Arsenal inahitaji kocha mpya(narudia kocha mpya)tena angepatikana leo ,sioni kama J5 tutashinda hilo silioni kabisa timu imeshaanguka na jahazi linazama style ya uchezaji umeshajulikana kocha hana mbinu mpya hana zaidi ya kupiga cross hana cha kuoffer au plan B hana sasa unategemea kutakuwa na jipya na ukiangalia body language za wachezaji unaona wamekata tamaa
Kwa sasa tunapigania KUTOSHUKA DARAJA kuliko kwenda TOP 4 ambayo nafasi ishapotea hata mwaka haujaisha huo ndo ukweli kwa jinsi tunavyofungwa mfululizo hatuna utofauti na Sheffield United, West Bromwich au Fulham na Brighton tena tushukuru Mungu hao nao wanafungwa kama sisi wangeshinda mechi kadhaa tungekuwa wa 18 kabisa
Fukuza hiyo bwabwa. Nawashangaa hao mabosi.Dortmund kashamfukuza wake nyie bado mnamng'ang'ania![]()
Mamaamaaa eeeeehhhhh.Hatuna timu, narudia tena hakuna timu, whether ni kocha au wachezaji Ila timu hakuna. Drastic measures are needed, otherwise we're relegated!
Kikosi cha Arsenal ni kizuri Mkuu, kuna mapungufu kidogo Sana ambayo yanalekebishikakuna watu mna roho ngum dunian yan we Burnley akufunge uje ujifananishe kikos chako na chelsea akat ungepaswa useme una kikos kizur kuliko Sheffield kwasababu yuko chin yako![]()