Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mods piga ban hii raia..

Arsenal ana kikosi kizuri kushinda United?..
Angalia kikosi cha Arsenal mchezaji mmoja mmoja utagundua ni kizuri kuliko timu nyingi tu pale EPL including hiyo Man utd yako
 
Wakati wa Wenger Xhaka alikua anaongoza kupiga pasi kwenye epl. Makocha wawili waliofuata walisababisha Xhaka aonekane mzigo mpaka akatishiwa kukatwa miguu.

Kisha Arteta kaja na akafanya Xhaka awe angalau ya alivyokua enzi za Wenger fans fell in love again. Kisha Elneny akaja nikasema Dani analamba benchi.

Na ikawa hivyo.

Akaja Partey na nikasema safari hii Xhaka analamba benchi.

Na ikawa hivyo.

Xhaka amekua muoga kugombea namba anacheza kivivu jezi ya Arsenal imekua nzito. Ilikua rahisi kwangu kujua Xhaka atawapisha Thom na Mo waliobisha walibisha na ukweli ukaonekana.

Timu haina akili ya kwenda mbele. Rosicky na Cazorla ilikua wakipata mpira wachezaji wengine had to burst into speed as these two ni kwenda mbele tu.

Lakini sasa hivi eti kiungo anapata mpira anarudisha kwa CB. Upuuzi gani huu? Entertainment siyo hizi back pass its how you can weave a goal as a team.

Kuna vitu vinakera. Yaani ni vitu ambavyo unatarajia kocha aone lakini ndiyo kama hajui vile. Saka akikaa kulia ataweza kucut in na kuscore same na Willian akiwa kushoto ukiwaweka kama jana watakua wazuri kwa cross na pasi tu.

Jinga
"Yaani kuona vitu ambavyo unatarajia kocha aone lakini ndio kama hajui vile"

Tusimtupie lawama mmiliki. I am just saying.

Bro, wewe unajua mpira and I salute you!
 
Adjustments.jpg
 
Subili kesho mnaenda kusukumiziwa ukuni huko nyuma mpaka mshuke daraja

Southampton wanakuja kutembeza mkuyenge humu mpaka mlainike tu
Hamna kusubiri. Sisi wenyewe tunawatamani hao soton tushawachapa wakiwa wamekamilika itakua sasa hivi? Akitoka huyo bado wewe
 
"Yaani kuona vitu ambavyo unatarajia kocha aone lakini ndio kama hajui vile"

Tusimtupie lawama mmiliki. I am just saying.

Bro, wewe unajua mpira and I salute you!
Boss Barca imefumuliwa yote baada ya zile 8.

Wachezaji hatari waliwekwa sokoni mpaka kwa 1M Euro.

Ceo, board na first XI ikafumuliwa wakabaki wachezaji 4 nafikiri.

Time yetu inaweza kufika pia.
 
Boss Barca imefumuliwa yote baada ya zile 8.

Wachezaji hatari waliwekwa sokoni mpaka kwa 1M Euro.

Ceo, board na first XI ikafumuliwa wakabaki wachezaji 4 nafikiri.

Time yetu inaweza kufika pia.
Nadhani inabidi tufikie huko, japo mimi nililiona hili hata nyakati za mzee Wenger. Uwezo wake mkubwa ndio uliifanya Arsenal iwe a top four team, wala sio board au mmiliki. Wenger was a football genius, alitumia limited resources kuifanya Arsenal a top top team. Leo tupo na average coaches ndio tunauona ukweli kuwa timu sio nzuri, japo on paper inaweza kuwa vizuri kuliko timu nyingi tu.
 
Tusubiri tuone dirisha litakapofunguliwa January wengi wa wachezaji Arsenal watapewa mkono wa kwaheri!!!
Maoni Yangu!!!
 
Nadhani inabidi tufikie huko, japo mimi nililiona hili hata nyakati za mzee Wenger. Uwezo wake mkubwa ndio uliifanya Arsenal iwe a top four team, wala sio board au mmiliki. Wenger was a football genius, alitumia limited resources kuifanya Arsenal a top top team. Leo tupo na average coaches ndio tunauona ukweli kuwa timu sio nzuri, japo on paper inaweza kuwa vizuri kuliko timu nyingi tu.
Mimi sioni kama kikosi ni kibaya. Shida morali
 
Back
Top Bottom