Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fanya analysis ya kikosi chetu mchezaji mmoja mmoja dhidi ya kikosi chenu cha Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja, utaona namna ambavyo tulivyowazidi.

Sisi sio level yenu Chief
Level ni namna ambavyo kikosi cha timu kinaweza pata matokeo yanayotakiwa na si quality ya mchezaji mmoja mmoja. Quality ya wachezaji bila ambition/plan sahihi ni sawa na kundi tu la watu waliovaa sare. Level wise Chelsea wamewazidi tena sana tu.
 
Mkuu hata New Castle ilikuwa timu kubwa na ilishuka daraja. Msipochukua hatua madhubuti mtashuka Asenane nyie.
Hii post kila mwana Arsenane anapaswa kuiona. Pasipo mipango sahihi timu yoyote inaweza anguka.
 
Aisee, mkuu una moyo sana. Safi sana ila bahati mbaya ni kuwa hakuna matokeo mazuri bila proper planning. Timu yenu iliingia kwenye project na Arteta kichwa kichwa bila kujipanga vizuri.

Inabidi mkubali kurudi nyuma alipoishia mzee Wenger ndiyo muanze planning. Vinginevyo kwa hizo project za ki-arteta arteta au ki-ole ole hamtoboi nawaambia.

You need some serious planning behind closed doors. Mbona inawezekana. Kwa nini msijifunze kwa wenzenu Liverpool wamefanyaje project yao. Chelsea pia wana project nzuri na unaweza ona kikosi chao kitakuwa tishio kiasi gani misimu miwili ijayo.

Sijataja Spurs kwa kuwa mtanimind bure
Of course uvumilivu ni muhimu zaidi kipindi hiki.

Ushauri wako umekuja wakati sahihi, naamini tunahaitaji planning nzuri ili tusiteteleke zaidi na kuwa historia
 
Unapeeenda mwenyewe
Mkuu, kipindi naanza kushabikia soccer timu zilizo kua pinzani kwangu ni Arsenal & Liverpool.

Mtaani kwetu vijana tuliganyika kwenye timu tatu, Manchester United, Liverpool na Arsenal.

Nakumbuka Arsenal iliyo kua na viongo kama P. Viera, D. BERGKAMP, LIJARMBAG, SILVER, kipindi hicho Fabrigas anatoka Barca akiwa bado mdogoo.

Kuna mdogo wangu (binam) kwasasa ni phd, aliipenda Arsenal kisa Henry alipiga kona iliyo enda mazima golini (sikumbuki mechi na nani ) kwasasa nikimtafuta hata sms hajibu.

Kwa kweli Arsenal ni timu iliyo kuwa
kubwa, ila kwasasa inapitia mateso.

Arsenal iliyo fungwa 3 bila England na Inter Milan na kwenda kushinda 4 bila Italia sio hii.
 
Hii post kila mwana Arsenane anapaswa kuiona. Pasipo mipango sahihi timu yoyote inaweza anguka.
And u need to remember this quote from Wenger for the rest of ur miserable life
"Have Tottenham closed the gap on Arsenal?
Last time I checked they were still 4 miles and 11 titles away" .
 
Wakati wa Wenger Xhaka alikua anaongoza kupiga pasi kwenye epl. Makocha wawili waliofuata walisababisha Xhaka aonekane mzigo mpaka akatishiwa kukatwa miguu.

Kisha Arteta kaja na akafanya Xhaka awe angalau ya alivyokua enzi za Wenger fans fell in love again. Kisha Elneny akaja nikasema Dani analamba benchi.

Na ikawa hivyo.

Akaja Partey na nikasema safari hii Xhaka analamba benchi.

Na ikawa hivyo.

Xhaka amekua muoga kugombea namba anacheza kivivu jezi ya Arsenal imekua nzito. Ilikua rahisi kwangu kujua Xhaka atawapisha Thom na Mo waliobisha walibisha na ukweli ukaonekana.

Timu haina akili ya kwenda mbele. Rosicky na Cazorla ilikua wakipata mpira wachezaji wengine had to burst into speed as these two ni kwenda mbele tu.

Lakini sasa hivi eti kiungo anapata mpira anarudisha kwa CB. Upuuzi gani huu? Entertainment siyo hizi back pass its how you can weave a goal as a team.

Kuna vitu vinakera. Yaani ni vitu ambavyo unatarajia kocha aone lakini ndiyo kama hajui vile. Saka akikaa kulia ataweza kucut in na kuscore same na Willian akiwa kushoto ukiwaweka kama jana watakua wazuri kwa cross na pasi tu.

Jinga
 
Kaka tushakoma kaka.. Yaliyopita si ndwele, tungange yajayo!
jamestupatupa-20201214-0001.jpg
 
Kwa yeyote anayefuatilia au anapenda kujua kuhusu boxing, serial killers, mass murderes na ishu kama hizo ajiandae.

Naweka nguvu zangu huko kwa sasa.

Nikishindwa weka picha kama zamani ilivyokua inawezekana then nitafanya deals nyingine.
 
Level ni namna ambavyo kikosi cha timu kinaweza pata matokeo yanayotakiwa na si quality ya mchezaji mmoja mmoja. Quality ya wachezaji bila ambition/plan sahihi ni sawa na kundi tu la watu waliovaa sare. Level wise Chelsea wamewazidi tena sana tu.
Sawa Mkuu, tusubiri ligi iishe hapo May, 2021 tuone mavuno ya kila mmoja
 
Typical Arsenal fan

Kuamini Willian ni bora kuliko Ziyech, kuamini Bellerin ni bora kuliko James, kuamini Xhaka ni bora kuliko Kante, kuamini Luis ni bora kuliko Thiago
Fanya analysis ya kikosi chetu mchezaji mmoja mmoja dhidi ya kikosi chenu cha Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja, utaona namna ambavyo tulivyowazidi.

Sisi sio level yenu Chief
 
Typical Arsenal fan

Kuamini Willian ni bora kuliko Ziyech, kuamini Bellerin ni bora kuliko James, kuamini Xhaka ni bora kuliko Kante, kuamini Luis ni bora kuliko Thiago
Sawa Mkuu, let's meet at the top mapema mwakani
 
Kwa yeyote anayefuatilia au anapenda kujua kuhusu boxing, serial killers, mass murderes na ishu kama hizo ajiandae.

Naweka nguvu zangu huko kwa sasa.

Nikishindwa weka picha kama zamani ilivyokua inawezekana then nitafanya deals nyingine.
Utanishtua mzeee,arsenal kichomi tu
 
Sasa mipango si ndiyo hii inaanza
Ya kumtimua Arteta siyo. Niliwauliza swali hapa hamjanijibu watani zangu. Endapo mtaweka kocha mpya akasema kwenye squad yenu ya 23+ abakiziwe wachezaji 8 tu, mko tayari kumpa kikosi kipya?

Pep aliuza wachezaji 20 ndani ya misimu miwili kabaki na wanne tu. Klopp angalia wachezaji aliowakuta ni wangapi. Angalia anachopewa Lampard. Angalia anachofanya Mourinho. Wote hao wanataka vikosi vyao.

Nyinyi mnaweza fanya hizo kitu hata ndani ya misimu mitatu?
 
Back
Top Bottom