Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baba angu mi naamini haupo sawa hivi unajua umeniquote mimi nikiwa nasema Kroenke hatoi pesa yake kununua wachezaji?

Hapa unaniuliza kwanini tunazidiwa points na hivyo vinega.

Bro kama unataka mtu wa kuongea naye slide into my pm drop your digits and we can talk.
Jibu ni kuwa Kroenke hata kama unasema hajatoa hela but wachezaji almost 90 percent wanataka kuchezea Arsenal because ni big club kiujumla Kroenke hachezi uwanjani wanaocheza wanalipwa mishahara na kila kitu wanachokitaka wanapata but kwa nini hawaperform?kwangu ni Arteta ndio Zumbukuku hayo ya Kroenke tusimseme sana mapaund yametolewa kwa Gabriel Partey Pepe Auba Lacazette but nothing on the pitch hata kama unavyodai hajatoa yeye but yametolewa na that's why wachezaji hao wapo Arsenal

Uamuzi wa kumuacha Saliba ,Ozil Martineli nayo pia ni kroenke?May be I don't know
 
Jibu ni kuwa Kroenke hata kama unasema hajatoa hela but wachezaji almost 90 percent wanataka kuchezea Arsenal because ni big club kiujumla Kroenke hachezi uwanjani wanaocheza wanalipwa mishahara na kila kitu wanachokitaka wanapata but kwa nini hawaperform?kwangu ni Arteta ndio Zumbukuku hayo ya Kroenke tusimseme sana mapaund yametolewa kwa Gabriel Partey Pepe Auba Lacazette but nothing on the pitch
Hii timu imejiendesha kwa pesa zake miaka yote tangu anaanza imiliki mpaka leo.

Kwani msichoelewa hapo ni kipi?

Yeye kama mmiliki anaruhusu matumizi yafanyike lakini ni matumizi ambayo timu imezalisha.

Sijui mnaelewa hapo?

Kisha baada ya kuona ugumu tangu Wenger aende na Emery afukuzwe mwezi uliopita kampuni yake nyingine imeingia ubia na Arsenal.

Hii kampuni inatarajiwa kutoa pesa ya usajili na hii pesa haitahesabiwa kuvunja FFP kwakua itahesabiwa imetoka ndani ya Arsenal.

Yaani ni kwamba kwa mara ya kwanza Kroenke anataka kutoa pesa nje na ambayo timu inazalisha. This time akifanya hivyo ndiyo tutaanza kusema Kroenke ametoa pesa ya usajili.

Ni wapi hamuelewi nyinyi watu??????

mysterio na wenzako
 
Rudia tena bro
Screenshot_20201214-001650.jpg
 
Ngoja nikupigie link
 
Nlikuwa nimelala ila baada ya kuamshwa na my GF nimebaki najiuliza hatma ya Arsenal ni nini?Arteta nashangaa bado kocha wa Arsenal hadi sasa why?mbona makocha bora wa Dunia wapo?Edu kapiga hela nyingi sana na Arteta na board hadi ikampa umanager hata mwaka Arsenal hana leo hii wanaoneana aibu naapa mara 3 mara 3 tukipata point katika next 3 fixtures kama Arteta atakuwa bado ni mocha wa board sio fans (Southampton Everton then Chelsea) ntakunya humu humu JF
Me naona ungekunya kabisa tuu kuepusha usumbufu
 
Back
Top Bottom