Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
, lakini mlizidiwa baada ya Diaby kutolewa.
Sijawahi kuona tumepoteza muelekeo kwenye mechi kama kipindi ambacho Diaby ametolewa mpaka dakika ya mwisho.
, lakini mlizidiwa baada ya Diaby kutolewa.
mkuu hii ya kutegemea wenzako wafungwe ili ufanikiwe ndio ilinikosesha ubingwa mwaka jana...maana ilifikia hatua tukawa tunategemea timu kama wigan kuifunga chelsea lol.Hiyo imemuuma every Gooner....lakini yale matokeo mengine hayajakupa Raha ya kupata Usingizi ndugu yangu???? Hebu chek matokeo najua somewhere utatabasamu na kuona Heri wewe uliyedraw kuliko...................................................Hahahahahahahaaaaaaa
Sijawahi kuona tumepoteza muelekeo kwenye mechi kama kipindi ambacho Diaby ametolewa mpaka dakika ya mwisho.
Hizi ndo zile siku zinapima mapenzi yangu kwa Arsenal.......It hurts....anyway,VIVA ARSENAL:sick:
mkuu hii ya kutegemea wenzako wafungwe ili ufanikiwe ndio ilinikosesha ubingwa mwaka jana...maana ilifikia hatua tukawa tunategemea timu kama wigan kuifunga chelsea lol.
mkuu hii ya kutegemea wenzako wafungwe ili ufanikiwe ndio ilinikosesha ubingwa mwaka jana...maana ilifikia hatua tukawa tunategemea timu kama wigan kuifunga chelsea lol.
Arsenal FC is more like Pakistan Cricket team! 4-4 na Newcastle bila ya Andy Caroll
Huyo ndo Rev wa 21st century....analisha kondoo na at the same time ni msajili wa timu kubwa kama Chelsea na ni mwanasiasa......
Rev,naipenda sana Arsenal,siku nikiihama inaweza kuwa mwisho wa kupenda soka......:coffee:
Mich hebu jaribu na vingine huenda ni vitamu zaidi! Karibu Chelsea utakuwa karibu nami
Vipi leo, mlikuwa hamna njaa ya ushindi?!!
LOL! Kule si bado mnasumbuliwa na malaria sugu ambayo yule nyota wenu aliwasambazia wenzake. Sasa sijui kama ni malaria kweli kama hii tunayoijua au ni gonjwa jingine hahahahahahahah
Mpwa wanifukuzia kakondoo hako! KEsho bila shaka utatupa shavu ze blues
Najua we mkweli...So unajua muamuzi kaharibu game kwa kiasi gani....anyway tutaonana kesho...SUAREZ atanisaidia kukuficha....Otherwise prove me wrong...
Furaha itaongezeka kesho!
MKuu ninafuraha sana leo! kesho tunapunguza gap
Why is that this arsenal hater referee phil dowd always bring down arsenal lead all the time. 2 penalties for goodness sake. He added additonal time during sunderland vs arsenal match, gave spurs a penalty. seriously i just dont like him bcos he has inflicted us so much for years.
Tumepoteza nafasi ya kupunguza points zaidi leo kwa man united ,sema powaaa tu.
Hawa Wolvs wamezipiga Both Man u n City, Chelsea and Liverpool....so top 4 ya EPL kabaki Arsenal ambayo tutacheza nao away.....na haya majeruhi sijui kama tutatoka ila kwa njaa ya Ushindi najua Lazima tushinde.........
mkuu hii ya kutegemea wenzako wafungwe ili ufanikiwe ndio ilinikosesha ubingwa mwaka jana...maana ilifikia hatua tukawa tunategemea timu kama wigan kuifunga chelsea lol.
Arsenal FC is more like Pakistan Cricket team! 4-4 na Newcastle bila ya Andy Caroll
Nini maoni yako kuhusu goli la Newcastle lililokataliwa?
Kumbe kelele zote hizi bado hata hamuwezi kutufikia ... .... pole sana khe khe kheeeeeeeeeeeeee
Huyo na rafiki yake Mike Dean na mkuda mwingine wako kwenye pay roll ya Fergi na Abraham O Vich watatumia kila mbinu wala usitie shaka tumepunguza gap kwa Manure ..... imgawa wengi hawalioni hilo tungefungwa hapa pasingetosh system ingejam na Mungiki Brother angeingia rasmi ingawa hivi sasa bado ni Invisible ..... ... wametumwa akina Peasant's na Rev bandia kujishaua. Khe khe kheeeeeeeeee
Mkuu tumepunguza point moja mwaka huu unaweza amuliwa kwa magoli ati .... ...
Tunakwaana nao next weekend Emirates.
Unless hufahamu maana ya League. ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Walipokutundika magoli ulikuwa wapi? Khe khe kheeeeeeeee
Nini maoni yako kuhusu goli alilofunga Van Persie ambalo lilikataliwa? Khe khe kheeeeeeeeee