Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arshavin sometimes naona kama hana BAHATI....pamoja kuwa anapambana kurudisha form yake ila BAHATI nayo hana.......
 
Kipa wao kawasaidia sana kipindi cha kwanza.


Tukirudi sasa tuje kupiga mashambulizi ya nguvu kumaliza game manake goli moja halitoshi.
 
Its Ht....Kwa mapenzi yangu kwa Arsenal ntasema kwamba tumewakosa sana katika hiki kipindi cha kwanza ila on other words ni kuwa these guys are good defensively esp. Kipa wao.... kawatoa sana....To tht faul on arshavin was a penalty ila ref ndo mwamuzi wa mwisho. So far we have a good play hasa katikati...kwenye finishing bado maruweruwe ya N'castle hayajatutoka........THIS IS A MUST WIN GAME.....
 
Hizi timu zinazojariobu kubaki kwenye premier league ni noma sana,inabidi tuwe waangalifu sana tunaweza kujikuta pabaya.
 
Hizi timu zinazojariobu kubaki kwenye premier league ni noma sana,inabidi tuwe waangalifu sana tunaweza kujikuta pabaya.

Bora kaka umesema,yaani kuna wakati nafikiri ni bora kucheza na timu kubwa kuliko hizi timu,si mchezo,kitaeleweka tu lakini!!
 
Back
Top Bottom