Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Utakuja kumtukana huyu mkuu kesho utaona.
Kama una hasira leo! pole Wolves 2 Man utd 1 dak ya 88
Utakuja kumtukana huyu mkuu kesho utaona.
Yes I do! nimecheka sana nilipokuchanganya all its good mipira na jokes
umenipata leo,hongera Rev,ndo ku-mature ujue kujadili na watu kama wewe ni mtihani ila ndo nakomaa hadi kila kitu niwe sawa.....niendelee kuijadili arsenal coz ndo kitu pekee roho yangu inapenda sasa......:coffee:
NAtaka nikusajili Chelsea ur sounds like a nice personal!
wakuuuuuuuuuuuuuuu furahaaaaaaaaaaaaa imerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii WOLVES 2 MAN UNITED 1.
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA PREMIER LEAGUE THE BEST LEAGUE IN THE WORLD.
INVINCIBLE MY FOOOOT, WOLVESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS DIIIIIIIIIIIIIIIID IT
wakuuuuuuuuuuuuuuu furahaaaaaaaaaaaaa imerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wolves 2 man united 1.
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa premier league the best league in the world.
Invincible my foooot, wolvesssssssssssssssssssss diiiiiiiiiiiiiiiid it
Kama una hasira leo! pole Wolves 2 Man utd 1 dak ya 88
Hawa Wolvs wamezipiga Both Man u n City, Chelsea and Liverpool....so top 4 ya EPL kabaki Arsenal ambayo tutacheza nao away.....na haya majeruhi sijui kama tutatoka ila kwa njaa ya Ushindi najua Lazima tushinde.........
Nguvu zote sasa zinapelekwa kwa Suarez kesho.
Vipi leo, mlikuwa hamna njaa ya ushindi?!!
dah! Jaman mm bado camin kama kweli kweli 2meshndwa kupenya yan kwel unampga m2 kama kacmama nae anarudisha kama umecmama yan dah! Ninataman nicnge uona 2uu nickilizie matokeo yan hata ucngz cna yan yan kha! Camin mpk sasa ila okay ndo mpra yan
Hiyo imemuuma every Gooner....lakini yale matokeo mengine hayajakupa Raha ya kupata Usingizi ndugu yangu???? Hebu chek matokeo najua somewhere utatabasamu na kuona Heri wewe uliyedraw kuliko...................................................Hahahahahahahaaaaaaa
Najua we mkweli...So unajua muamuzi kaharibu game kwa kiasi gani....anyway tutaonana kesho...SUAREZ atanisaidia kukuficha....Otherwise prove me wrong...