Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Tutakuwa pamoja.....FA,PL na hata UEFA mwaka huu ni yetu....endeleeni kutusindikiza tu.....lol:laugh::laugh:
MWanangu sijakuelewa UEFA tena?
Tutakuwa pamoja.....FA,PL na hata UEFA mwaka huu ni yetu....endeleeni kutusindikiza tu.....lol:laugh::laugh:
Safi sana at least vidonge ninavyowapa vinafanya kazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi unapiga ukelele unashika number ngapi kwenye EPL? Nasikia unagombea kucheza Europa cup?
NItafute May 2011 halafu niulizie niko wapi. Europa Cup hao ni Looser fool
MWanangu sijakuelewa UEFA tena?
Rev si tuna match na Barcelona??au imefutwa?
Wametuhuzunisha sana hawa watoto wa wenger,ila hata man u nao mpk halftime washachapwa 2-1.
MWanangu sijakuelewa UEFA tena?
Duh hivi tulishatolewa FA??? siifuatiliagi hilo basi Rev Masanilo,hapo kwa FA weka Carling CUp......
Duh hivi tulishatolewa FA??? siifuatiliagi hilo basi Rev Masanilo,hapo kwa FA weka Carling CUp......
MKuu ninafuraha sana leo! kesho tunapunguza gap
tupo bado anakuzingua lol.kakuuliza kuhusu uefa kwa vile tunacheza na barcelona,hao barcelona wanafungika pia.
Una maana CL ? Hahahahhah pale mnachapwa kama mnalia na Barca.
CL si tayari tunalo???....l.o.l
Tutachapwa UEFA Rev eehh....Heri waliao maana wao.......lol.....siku ya hiyo mechi utahitajika sana kutupa moyo kondoo wako.......kwamba God still loves Arsenal....
Una vituko sana wewe!
CL nilikuwa nina maana champions league. Rev Masa hates Fat-Arse -Anal
Kama wewe tu Rev....umejua mjukuu hafuatilii FA basi unani challenge tu??? do you believe in football miracles???:laugh::laugh: