Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahahahahahah! LOL! tutaona hiyo kesho kama atafanya lolote la maana badala ya kuzungukazunguka tu kiwanjani kama kwaida yake. Usikimbie tu maana ndiyo kawaida yako mkishachapwa unaingia mitini kwenda kutafuta kinywaji.

I am looking forward to Wenger's excuses tonight !!! whining ,..........
 
Unajua nini??! kwasababu mechi ilianza na mkaongoza vizuri hivyo hata akili zilikaa kiushindi!!..ndio kandanda, leo kushinda na siku nyingine kufungwa..hata ukisema ukalale usingizi hautakuja ni mpira tu una-replay akilini..pole!!

sawa sawa kabisa .washabiki wenzako man united wshaanza kupiga simu hapa jamaa wataongea leo lool.

Kweli kila mtu na siku yake.Kila la kheri kwenye game yenu manake haita make sense kukuombea njaa kama mie mwenyewe nimeshinda na njaa.
 
Hizi ndo zile siku zinapima mapenzi yangu kwa Arsenal.......It hurts....anyway,VIVA ARSENAL:sick:
 
yaani nikisoma komenti za gooners wenzangu on first half ndo hzo hzo nilizokuwa nazo mie, yaani kila mtu alikuwa anasema leo castle watatukoma lazima tuwapige 6
dah!! yaani hii ni kali kali mno, sijui nikalale au nitoke nje, kote sijisikii
 
Time for deep reflection now, why does it happens so often against us? Yet again, we have surrendered the lead like we did on several ocassions, the game against Spurs at Emirates quickly come to mind, Even when we are 4 nil up against lower team (the like of Newcastle) we tend to succumb to pressure. Teams always knows they have chances against us no matter how big is the scoring line.
Mr Wenger doesn't give a monkey really, he has never replaced half the Invincible squad, he would rather keep the profit bulging in the bank than go and spend on couple of decent players. (He always prefer to get them on cheap back in France)
Sick and tired of schoolboy errors from our players.
The like of V. Diaby, Denilson, Squillaci and Bendtner are not Arsenal class. Let's be frank these guys are not good for premiership, maybe 1st division, good job Vela has been shipped to WBA.
 
Mbu hadi jukwaani umepotea, Kweli nae ndio kaonekana sasahivi...Wacha1 p'se tuwekee pics za game ya leo! poleni watani,lol!!!
 
E bana weeeeeeeeeeeeeee.....duuuhhh!
nilikuwa mbali na mtandao na TV, sdio kwanza nayapata matokeo...
aaaaaahhh...

Anyway, ngoja ni revise comments zenu nikisubiria highlights saa nne usiku. Ahhh!
Hii ni noma,...hopefully tuta recorver....
 
Time for deep reflection now, why does it happens so often against us? Yet again, we have surrendered the lead like we did on several ocassions, the game against Spurs at Emirates quickly come to mind, Even when we are 4 nil up against lower team (the like of Newcastle) we tend to succumb to pressure. Teams always knows they have chances against us no matter how big is the scoring line.
Mr Wenger doesn't give a monkey really, he has never replaced half the Invincible squad, he would rather keep the profit bulging in the bank than go and spend on couple of decent players. (He always prefer to get them on cheap back in France)
Sick and tired of schoolboy errors from our players.
The like of V. Diaby, Denilson, Squillaci and Bendtner are not Arsenal class. Let's be frank these guys are not good for premiership, maybe 1st division, good job Vela has been shipped to WBA.

pole Kweli.....tumeumia kweli ila Bendtner ni mzuri....hao wengine kweli.....
 
Rev Masanilo leo atalala vizuri sidhani kama atakumbuka hata kuandaa mahubiri ya kesho......l.o.l:laugh::laugh:
 
Mbu hadi jukwaani umepotea, Kweli nae ndio kaonekana sasahivi...Wacha1 p'se tuwekee pics za game ya leo! poleni watani,lol!!!

...mnh, game ya leo nilikosea timings, nilijua nitawahi japo 2nd half, ...dah,...
BJ, nilikuwa busy kibaruani bana, unajua tena maboksi ya mwanzo wa mwaka, hatupumui!

Mnh, kwakweli bora sikuiona mechi hii...ningeumia zaidi.
Dah!... am speechless...

I am looking forward to Wenger's excuses tonight !!! whining ,..........

Wacha kelele wewe uliona jinsi refa alivyowabeba kwa penalties ambazo hazikustahili .... .... Mafioso walienda kumwanga mpunga ... khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
yaani nikisoma komenti za gooners wenzangu on first half ndo hzo hzo nilizokuwa nazo mie, yaani kila mtu alikuwa anasema leo castle watatukoma lazima tuwapige 6
dah!! yaani hii ni kali kali mno, sijui nikalale au nitoke nje, kote sijisikii

Mkuu rudisheni goli basi huko wolves 2 - 1 Toeni mpunga khe Kheeeeeeeeeeeeeee

BTW Belo = Matambo?
 
Unajua nini??! kwasababu mechi ilianza na mkaongoza vizuri hivyo hata akili zilikaa kiushindi!!..ndio kandanda, leo kushinda na siku nyingine kufungwa..hata ukisema ukalale usingizi hautakuja ni mpira tu una-replay akilini..pole!!

BJ mpira ni dakika 90 ... .... ... vile vile refa anaplay part ......

refaaaaaaaaa noma sana kaua live.watu wamerukia mpira wajuu katoa penati,.

Mkuu wiki nzima hii ilikuwa isue ya Fabregas na leo walitukamia FA pamoja na wakuda wao huwezi kutoa penalties kama njugu ambazo hazieleweki. Usijali mwaka huu kitaeleweka tu. The ant-foreign has gone into overdrive.
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Safi sana at least vidonge ninavyowapa vinafanya kazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mpira una sheria 17 sasa wewe unataka wacheze kama kumbe lala?

Hivi unapiga ukelele unashika number ngapi kwenye EPL? Nasikia unagombea kucheza Europa cup?
 
Wacha kelele wewe ulioma jimsi refa alivyowabeba kwa penalties ambazo hazikustahili .... .... Mafioso walienda kumwanga mpunga ... khe khe kheeeeeeeeeeeee

Mpira una sheria 17 sasa wewe unataka wacheze kama kumbe lala?
 
Back
Top Bottom