Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatuna timu pale ni genge la wapuuzi tu,huwezi kusema una timu ya ku-compete EPL ukiwa na takataka kama Wilnock,Nelson,Nketiah,ni genge la wapuuzi tu wababaishaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mna bahati sana kuanzia nafasi ya 18 mpaka 20 hawaeleweki bila hivyo nyinyi ndio mngekuwa huko
 
Bado haujaongea.
Na matusi juu. Eti mara muhindi, mara hajui kingereza, eti anawachanganya wachezaji kuhusu "come" na "calm" ujinga mtupu.

Tunasubiria timu yetu ikae vizuri.

Bora tungekuwa na Guendouzi wetu Leo Bora kuliko willock
 
Tatizo mlimruhusu Wenga aondoke na irizi kama Manure walivyomruhusu Fergusson akaondoka na irizi
 
Hatuna timu pale ni genge la wapuuzi tu,huwezi kusema una timu ya ku-compete EPL ukiwa na takataka kama Wilnock,Nelson,Nketiah,ni genge la wapuuzi tu wababaishaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa wilok na nketiah sawa... Ila kwa nelson nakukatalia mkuu, yule dogo bs tu hajakutana na kocha mahiri + akina smith row n madogo wngne wanaojua pale emirate.... Iv unamkumbuka SESE GNABRY??? kilichitokea, usije kushangaa na kwa nelson ikawa.. then tutaishiaga kusema tu arsenal product bs ....
 
Tatizo mlimruhusu Wenga aondoke na irizi kama Manure walivyomruhusu Fergusson akaondoka na irizi
Kile ki'wilok cjui ateta anakipendea nn.... Bnafs sionag kbsa mchango wa kale kadogo zaid ya hasara tu kwny pitch.... Kuna mtu kama mustaph pale pa1 n kwmb ndoivo jua linazama lkn anaeza bs kwa kipind kilichobaki abadlshiwe japo majukumu kama ateta anaona hana kiungo mlinz.... Game ya jana imeboa sana
 
Wachezaji wenyewe ndo hivyo siyo rizki mnategemea nini EPL
Lvphqx3.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom