Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Arteta is not as good as he was initially seen
Waambie waambie.Mid table team ni kuipendelea Arsenal,yaani timu hamna kitu ni takataka tu
Why baffled mkuu???Still baffled with what I see
Marehemu Woolwich (arsenal) anaendeleaje naomba matokeoArsenal have arrived. Saka is here, Willian and Elneny too.
Kama umezidiwa piga panadol 2 uendelee kuangalia game acha uoga wa matokeoKesho asubuhi ntapata matokeo nawatakia usiku mwema
Why baffled mkuu???
Ndio uwezo wao hakuna mgomoHii timu sijui ni mgomo au ndio uwezo wao?
Mmepigwa 2 kwa 1, ukiamka asubuhi utakutana na hii notification ya matokeo [emoji23][emoji23][emoji23]Kesho asubuhi ntapata matokeo nawatakia usiku mwema
Wewe haukua mmoja wa waliocrush maoni yangu niliposema usajili wa Partey ulikua wa kukurupuka?Creativity is missing from Arsenal, uwezo wa arteta umefika mwisho