permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Mkuu hebu ongeza nyama kidogo hapaAna kesi ya kulawiti
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu ongeza nyama kidogo hapaAna kesi ya kulawiti
Shida ya Arsenal siyo kocha,Tatizo kubwa la Arsenal ni huyo Mwendawazimu Kroenke!
Arsenal hata kama watampata kocha mwenye sifa za malaika bila huyo mwendawazimu kuachia timu ni kazi bure!,Huwezi kuwa na kocha mzuri halafu una wachezaji wote wabovu,Huyo kocha utamlaumu tu!
ARTETA ASIBEBESHWE ZIGO LA LAWAMA,AMEIKUTA ARSENAL IMEOZA,NA KIBAYA ZAIDI HATA PESA YA USAJILI HAKUNA
Kibongo bongo tungesema kuna muamala ulipita, haki ya nyangarambe.Leeds nao wapuuzi sana mashuti yale yote wameshindwa kupata ata goli moja
Arsenal ilicheza mchezo mkubwa sana dhidi ya Man Utd.Hii ligi Chini ya Arteta mpaka sasa Top 10 hatutoboi na Top 15 pia itakuwa ngumu mechi Arsenal aliyocheza vizuri ni Dhidi ya Fulham peke yake nyingine zote 8 hamna kitu Top 10 hatutoboi bado kuna Everton Spurs Wolves Chelsea atamfunga nani kwa mpira huu?
Arteta sio kocha wa kuibeba Arsenal nachokiona alivyyondoka Unai wachezaji wakapata morali ya muda kuwa na kocha mpya but kwa sasa morali imeshuka na tatizo limekuwa kubwa zaidi ya Unai ,Arsenal ina goli 9 mpaka sasa hata Dominick calvert kaizid timu nzima ya Arsenal kwa magoli kama kuna shabiki anaamini Arsenal itabadilika ntamshangaa na tunaingia mwezi December ambapo Arsenal ni tia maji tia maji I swear top 15 msimu huu ndo ushindi wetu kwa mpira huu tunaocheza na Arteta kwa sasa hana cha kufanya kajaribu style zote kachemsha sasa atakuja na nini kipya?sioni maajabu leo ingekuwa ndo tunacheza na Spurs tungekula 8Shida ya Arsenal siyo kocha,Tatizo kubwa la Arsenal ni huyo Mwendawazimu Kroenke!
Arsenal hata kama watampata kocha mwenye sifa za malaika bila huyo mwendawazimu kuachia timu ni kazi bure!,Huwezi kuwa na kocha mzuri halafu una wachezaji wote wabovu,Huyo kocha utamlaumu tu!
ARTETA ASIBEBESHWE ZIGO LA LAWAMA,AMEIKUTA ARSENAL IMEOZA,NA KIBAYA ZAIDI HATA PESA YA USAJILI HAKUNA

, saizi kuna raia humu wamekimbia kuna yule chizi wenu Aroon na dully.Kibongo bongo tungesema kuna muamala ulipita, haki ya nyangarambe.
Hakuna tulichomzidi Manchester United kalete statistics tuone if I am wrong nachokumbuka wote tulikuwa na short on target 2 mechi nzima hapo ndo tulilingana but attempts possession pass Manchester United alituzidiArsenal ilicheza mchezo mkubwa sana dhidi ya Man Utd.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Naanza kukuelewa Castr, we still have a long way with our Arsenal, bado sana
Arsenal nyuma iko solidArteta sio kocha wa kuibeba Arsenal nachokiona alivyyondoka Unai wachezaji wakapata morali ya muda kuwa na kocha mpya but kwa sasa morali imeshuka na tatizo limekuwa kubwa zaidi ya Unai ,Arsenal ina goli 9 mpaka sasa hata Dominick calvert kaizid timu nzima ya Arsenal kwa magoli kama kuna shabiki anaamini Arsenal itabadilika ntamshangaa na tunaingia mwezi December ambapo Arsenal ni tia maji tia maji I swear top 15 msimu huu ndo ushindi wetu kwa mpira huu tunaocheza na Arteta kwa sasa hana cha kufanya kajaribu style zote kachemsha sasa atakuja na nini kipya?sioni maajabu leo ingekuwa ndo tunacheza na Spurs tungekula 8
Castr anaweza hata kuwa kocha wa Arsenal Big up Man!aliliona tatizo kabla hata Dirisha la usajili halijafungwa na kupiga sana kelele ,tukamuona ni mnafiki hata board ya Arsenal na Arteta wao hawakauona kama ni tatizo ,sasa hivi Arteta kila mechi Chupi yake inajaa jasho kwa hofu pamoja na fans roho juu juu mamamae kama Castr aliona kuna tatizo na Arteta hakuliona na akamuacha nje kabisa Ozil kazi yake ni nini sasa?Leo nilikuwa kibanda umiza fulani (I rarely go there} nilipata muda mgumu (hard time). Wale watanzania niliowakuta kule (nadhani wapiga kura wa bwana mkubwa), duh. Inahitaji uvumilivu
U swear top 15, una uhakika??? Tema chini bro, mpira hauhitaji hasira.Arteta sio kocha wa kuibeba Arsenal nachokiona alivyyondoka Unai wachezaji wakapata morali ya muda kuwa na kocha mpya but kwa sasa morali imeshuka na tatizo limekuwa kubwa zaidi ya Unai ,Arsenal ina goli 9 mpaka sasa hata Dominick calvert kaizid timu nzima ya Arsenal kwa magoli kama kuna shabiki anaamini Arsenal itabadilika ntamshangaa na tunaingia mwezi December ambapo Arsenal ni tia maji tia maji I swear top 15 msimu huu ndo ushindi wetu kwa mpira huu tunaocheza na Arteta kwa sasa hana cha kufanya kajaribu style zote kachemsha sasa atakuja na nini kipya?sioni maajabu leo ingekuwa ndo tunacheza na Spurs tungekula 8
Sasa hivi Kuna msamiati mpya tunaita "kuhujumu team"Kibongo bongo tungesema kuna muamala ulipita, haki ya nyangarambe.
Sasa hivi Kuna msamiati mpya tunaita "kuhujumu team"
Niambie kwa tatizo tulilonalo tena gumu bado kuna spurs Everton wolves Chelsea Southampton msimu huu hatutoboi sio hasira statistics zinaongea mechi ya mwisho Arsenal kucheza open play ni dhidi ya Sheffield United statistics hazidanganyi Auba ana goli 2 mpaka sasa maana yake ni kwamba Arsenal hataweza kupambana na hizo timu sababu hatufungi magoli na hizo timu nlizozitaja zinafunga magoli mfano ni kama mechi ya leo imeisha bila bila na nyingine angalia zote tulizofungwa ukiacha ya liverpool peke yake tuliyofunga goli 1 nyingine zote hizo hatukufunga sasa utashangaa kuwa Top 15?kama sasa hivi tupo nafasi ya 12 na mechi ndo zinaenda hvyo ukiwa wa 15 utashangaa?U swear top 15, una uhakika??? Tema chini bro, mpira hauhitaji hasira.
Sasa hivi bado hawajakoma wanamtaka jorginho ngoja tuwapeWakwe zetu, mturudishie Willian bila ngeu kama kawashindwa kwa sababu hamkulipa mahari
Asanteni sana
Tuliwaambia lakini hawezi kazi nyie mkajifanya wajanja kuliko majirani zenu, sasa yanawakuta, mtamvumilia hadi miaka mitatu iishe au mkamtundike kama Ozil