Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Once nilisema hii timu inabidi ijishikilie mpaka January naona na kujishikilia haiwezi so tutafika January huku shati limechanika chanika.
Tukumbuke Arsenal iligoma kutoa 60 kwa hali ilivyo naona wazi dau likipandishwa na safari hii tutanunua bila kuomba kupunguziwa.

Wale washkaji waliokua wanabisha wajiandae.
 
Pamoja na yote, hatuko vizuri na hali sio nzuri. I love my team but tupo vibaya.
Wakuu narudia tena, tuache kumpamba Arteta, hatuko vizuri hata kidogo. Msimu huu tusipoangalia hata top ten hatumo.

Hizi article tunazoandika humu ni bure tu coz turning the tables around kwa sasa yaweza kuwa ngumu vibaya mno.

Inaweza kuchukua miaka mitano hadi kumi kuiona ile arsenal tuliyoiona miaka ya 2000
 
Jamani bado ucku unaenedlea maaana nipo naangalia mechi ya arsenal kwani barafu ilianguka waka Hairisha???? Mechi ila mara ya mwisho FT ARSENAL NA WAKE ZAKE 1 WOLVE WANAUME 2 SO NASHANGAAA BADO INACHEZWA MPKA SSA HIVI
 
Kiukweli haya majukwaa yetu ya michezo yanaharibiwa sana na baadhi ya watu wasiokuwa na hekima na ndiyomaana hata wakati mwingine mtu huonekani kabisa.

Dully Jr, Will, King Ngwaba mnaongeaje uozo kwenye nyuzi za timu zingine bila hekima kama akina Don Clericuzio, Chief Mkwawa, Relief Mirzska, Lembu kwa hoja murwa badala ya maneno yasiyo na staha?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Arsenal nawapa pole kwa kufungwa 2-1 pale Emirates Stadium na Wolves jana 29/11/2020, lkn naomba mfanye maamuzi magumu kuhusu kocha M. Arteta maana uvumilivu wa afya ya miili huwa na kikomo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
November tulimtimia Emery akiwa nafasi ya 8. November hii hii tunasubiri nini kumtimua Arteta aliye nafasi ya 14?
Pole sana kaka, labda sababu Arteta ni Legendary players waliowahi kuichezea Arsenal ndiyomaana hatimuliwi, lakini pia Bosi wenu asiwe bahili sana kama Ed Wood Ward wa Man U anayeangalia sana faida zake binafsi kuliko maslahi ya timu kwa mashabiki.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Adjustments.jpg
 
Ile cku Arsenal anatufunga United goli 1 kwa 0 pale OT ilikua mechi yangu ya 3 kuitazama * The gunners* ikiwa chini ya Arteta,kiukweli Arsenal haichezi vizuri hasa kwenye kushambulia wanatengeneza nafasi chache mno tena ni kawaida mno kukuta mechi imeisha huku Arsenal ikiwa imelenga mashuti mawili tu langoni kwa mpinzani wake,naona wachezaji wanacheza kwa maelekezo zaidi kuliko uwezo wao hasa Willian namuonea huruma sana.ukiacha Lampard namuona Steve Gerrard namuona nae anakuja vizuri sana kiukweli Olesendeka na Arteta watafute shughuli nyingine tu ukocha hawawezi au warudi tena darasani.
 
Back
Top Bottom