Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee weekend tunamuua Wolverhampton mazishi tunapeleka White hart lane,hizi point sita za bure kabisa.
 
Arteta: That takes at least a few windows to do that [challenging for title]. And to establish yourself to compete at the level of certain clubs & in this league, which is near the 100 points. Again it takes time, and in football time is very precious & people are very impatient.

But if you don't respect the processes & you ask certain people to do certain things when the foundations are not there, it's a really dangerous thing to do as well. But again, I know we all want to see, I am the first one that wants to see the Arsenal are the top of the league
 
Wakati mwingine mtu anakuletea picha kama hii na unajiuliza kwanini anafuatilia mpira.

Arteta hii ni kazi yake ya ngapi kama kocha mkuu?

Emery kashashindwa kuharness potentials za wachezaji wangapi kila alikopita? Anza na Mbape.

Emery alicheza mpira gani Arsenal? Huku Ozil akiwa anaweza kutumiwa lakini ilikuaje?

Hiyo ligi aliyo Emery hua inatawaliwa na Madrid na Barcelona ambao kwa sasa wao wenyewe hali mbaya. Ligi ambayo inamuomba Messi asiondoke kwakua itakosa mvuto.

Emery kaikuta timu anayotakiwa kusonga nayo mbele kama kuna ishu za viraka ni chache tu. Arteta anadeal na Arsenal ambayo inatakiwa kufumwa upya. Ndiyo maana kaitaka misimu ya kujijenga.

Kuna michezo mingi siyo lazima mpira. Fuatilia hata kibao kata.
 
Mbona hawalinganishi idadi ya vikombe(silverware)???
Nilimuona unai emery dhaifu sana kushindwa kuchukua europa dhidi ya watoto wetu chelsea.
 
Kuna shabiki humu anaielewa Arsenal kuliko Mersons?
Screenshot_20201128-115224~2.jpg
 
Kesho tukishinda itakuwa bahati sana kwetu na next match ni vs Spurs ,Arteta kwa sasa yupo yupo hana la kufanya ila asijaribu kumchezesha Willock kama namba 10 atapigwa kipigo kikali ni heri Nelson acheze huwa ana msaada mkubwa kuliko Willock na tangia EPL ianze hakuna mechi tuliyoshambuliwa tangia mpira unaanza hadi unaisha dhidi ya Leeds na kupata bahati ya kutofungwa sababu ya kiungo alichokipanga last Sunday

Hakuna kitu ambacho nakipenda kama kwenda kuwananga majirani zetu but kwa sasa sina la kusema pande zao tena
 
Kuna shabiki humu anaielewa Arsenal kuliko Mersons?View attachment 1636641
Hahaha mmiliki wa Liva na mwenzake wa Man walipoamua kuanzisha project big picture ilitakiwa top teams zikubaliane na huo uamuzi.

Miongoni mwa Top Teams ni Arsenal.

Katika hiyo project ilikua inatoa kura ya Veto kwa timu tano.

Miongoni mwa timu yenye kura ya Veto ni Arsenal.

Kuna timu zilialikwa kwakua zipo kwenye ligi muda mrefu.

Nahisi ni Tottenham tho sipo sure.

How about it? Unakua mid table team ila una privileges za timu kubwa?

Lete komedi nyingine.
 
Goli la Balogun dhidi ya Molde.

Balogun anapokea mpira anageuka anashuti mpira unakuta kipa alitarajia Balogun acurve so akawa kashaenda kulia. Yule kipa angedaka lile shuti kama angepiga Lewandowski, Muller, Ronaldo, Aguero as striker aliye kamili ule mpira angetaka kuupeleka upande wa kulia zaidi Balogun aliscore kwakua bado hajafikia ukamili huo akapiga kati.

Ikatokea angepiga curve ya kulia na kipa angedaka nisingemlaumu Balogun as angekua amefanya ambacho kila top striker angefanya ila kwa namna alivyoscore ni ama aimprove au aendelee hivyo hivyo na awe Adebayor mwingine pale Arsenal
 
Anafunga vibonde hata haya hauna unamsifia kumbuka pia pepe anafunga magoal ya kideo kwenye Hiyo ligi ya futuhi akija kwenye ligi ya miamba mnabaki kumtukana
 
Kesho tukishinda itakuwa bahati sana kwetu na next match ni vs Spurs ,Arteta kwa sasa yupo yupo hana la kufanya ila asijaribu kumchezesha Willock kama namba 10 atapigwa kipigo kikali ni heri Nelson acheze huwa ana msaada mkubwa kuliko Willock na tangia EPL ianze hakuna mechi tuliyoshambuliwa tangia mpira unaanza hadi unaisha dhidi ya Leeds na kupata bahati ya kutofungwa sababu ya kiungo alichokipanga last Sunday

Hakuna kitu ambacho nakipenda kama kwenda kuwananga majirani zetu but kwa sasa sina la kusema pande zao tena
Leeds tulikuwa pungufu angekufa, kesho tunashinda comfortably, Chama lipo imara litakushangaza
 
Leeds tulikuwa pungufu angekufa, kesho tunashinda comfortably, Chama lipo imara lilitakushangaza
Let's wait and see tupo nafasi ya 14 hadi sasa haijawahi kutokea Arsenal kuwa nafasi hii na kwa mpira tunaocheza tukiwa wa 16 au 17 after 19 matches sitashangaa
 
Anafunga vibonde hata haya hauna unamsifia kumbuka pia pepe anafunga magoal ya kideo kwenye Hiyo ligi ya futuhi akija kwenye ligi ya miamba mnabaki kumtukana
Hebu soma unielewe. Ukikuta nimeandika kitu usiwe unakikurupukia
 
Sioni wepesi kwenye game na Wolves.

Hatuna Elneny hatuna Partey. Hatuna AM.

Siku hizi mid inakushindia mechi. Na defense inakupa titles.

Mid is in shambles defense inajitahidi. With such a mid hauhitaji defense inayojitahidi you need defense ya nguvu.

Wolves katoka kupigwa na kusuluhu so atakuja kwa nguvu zote trying to bounce back but the same to us na sisi tutaenda wounded trying to bounce back.

Itakua ni game la kuviziana na mishuti ya mbali ya Wolves.
 
Back
Top Bottom