Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Humu kuna watu wanapokea taarifa na wanazileta hata hawapimi.

Ama la basi ni wafata mkumbo.

Chelsea ilifungiwa kusajili katika mojawapo ya hizo last two summers.

Baada ya kufunguliwa kusajili Chelsea inachuana na City katika kumwaga pesa za usajili.

So hii taarifa kwa makusudi imebidi iseme 'last two summers...' ili kuhalalisha hoja yao. Na Arsenal imetumia hicho kiasi kusajili wachezaji zaidi ya 8 (wengine hawachezi) Chelsea imetumia hicho kiasi kwa wachezaji watano.

Na hao watano ni wamesajiliwa dirisha lililopita. Kama na Arsenal ingehesebaiwa kwa dirisha lililopita ingeonekana imetumia pesa kidogo mno so ili kuifikia hiyo namba imebidi wafosi iwe 'last two summers...'ingawa chelsea alikua kwenye banio.
Sawa, but is not true???

Kwamba we have spent the same amount as they did in the last TWO windows??
 
Ibrahimovic kasema ana mataji mengi kuliko Chelsea yeye ndiye anatakiwa kuisajili Chelsea na siyo Chelsea imsajili yeye.
😂😂😂 Hizo ni shobo zake hakuna mtu kutoka Chelsea alijitokeza akasema tunataka kumsajili. Hata ivyo sisi tunasajili wachezaji wanaonukia UEFA yule na kuzunguka kwake club kibao hajawahi nusa klabu bingwa. Sasa anatofauti gani na nyie? 😂😂😂😂😂
 
Sawa, but is not true???

Kwamba we have spent the same amount as they did in the last TWO windows??
Kwamba umemzuia mwanao A asinywe leo soda ila leo mwanao B kanywa soda moja.

Kesho mwanao A anakunywa soda mbili na mwanao B anakunywa soda moja.

Na kauli sahihi hapo ni "Kuanzia jana usiku mpaka leo mwanangu A kanywa soda mbili na mwanangu B kanywa soda mbili"?
 
😂😂😂 Hizo ni shobo zake hakuna mtu kutoka Chelsea alijitokeza akasema tunataka kumsajili. Hata ivyo sisi tunasajili wachezaji wanaonukia UEFA yule na kuzunguka kwake club kibao hajawahi nusa klabu bingwa. Sasa anatofauti gani na nyie? 😂😂😂😂😂
Wachezaji wanaonukia UEFA? Katika wachezaji 5 mliosajili wangapi wamechukua UEFA?
 
Amejaza kabati ma trophies ya Serie A na League 1 tu
Hana trophy ya Premier league, UEFA Champions league, anajiona mjanja.
 
insta_2453767538154609653.jpeg
 
Wachezaji wanaonukia UEFA? Katika wachezaji 5 mliosajili wangapi wamechukua UEFA?
Ndio maana nikasema wanaonukia siyo waliochukua. Thiago kacheza final mwaka jana, Timo kacheza semi final, Mendy kacheza UEFA na Renais, Kai naye bado mdogo naye ananukia, Hakim unaelewa mwnyw shughuli yake.

Huyo Zlatan wa nini aje kuwanukisha ubeberu kina Odoi?
 
Naona Malang Sarr unamkwepa

Kama ishu ni kufika nusu au fainali kwani Arsenal haijafika?

Na kama ilifika hoja yako ya kwamba tunafanana na Zlatan ni sahihi?

Also Zlatan alifika nusu akiwa na PSG.

Cheki facts zako bro, Chelsea na Zlatan Zlatan ni kingunge subirini awasajili.
 
Malang Sarr ni free agent halafu sasa ivi yupo kwa mkopo anacheza UEFA. Huyo Zlatan amecheza UEFA mara ya mwisho lini? Yan kombe la farmers league ulinganishe na EPL?
 
Back
Top Bottom