Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yani kama mtarudishwa magoli yote hayo au kutolewa droo itakuwa ni noma..halafu ukitaka muda uende ndiyo kwanza unakuwa kama paused huku mashambulizi yakizidi, punguza na midadi hapo ha ha
Nipo sasa BAK na sijambo, majukumu yalitinga..thanx

Noma sana BJ! we acha tu yaani miye hapa hata sielewi kinachoendelea! Pamoja na red card lakini goli nne in less than 20 minutes!!! that is not acceptable at all. Nafurahi kusikia uko bomba.....Siku ilianza vizuri sana lakini imeshaingia doa na haya matokeo aaaaarrrrrgggggghhhhhh :angry:. Haya baadaye basi miye naenda mtaani kushangaa shangaa.

Unbelivable BAK, nimehuzununika pia!!..haya tugange yajayo! p.s. usije ukajitundika kwa haya matokeo🙂
Weekend njema japo naona imeshaingia doa!!
 
We kenua tu Mkuu kwa pumzi yako, karibu tena jamvini. Usikimbie tu kesho maana wale L'pool wamewakamia sana.

fernando-torres-chelsea1.jpg
139732.jpg
 
Unbelivable BAK, nimehuzununika pia!!..haya tugange yajayo! p.s. usije ukajitundika kwa haya matokeo🙂
Weekend njema japo naona imeshaingia doa!!

BJ life is so precious! siwezi kabisa kufanya ujinga kama huo lakini siku imeshaingia doa, baadaye basi.

mchezo umeisha 4:4 sasa kutangulia si kufika kama mliweza kipindi cha 1 nao wamefanya kipindi cha pili
poleni ndugu zangu
 
Hahahahahahahahah! LOL! tutaona hiyo kesho kama atafanya lolote la maana badala ya kuzungukazunguka tu kiwanjani kama kwaida yake. Usikimbie tu maana ndiyo kawaida yako mkishachapwa unaingia mitini kwenda kutafuta kinywaji.
 
Asante sana BJ, nomaaa sana utasema nimepatwa na msiba hapa.weekend yangu imeharibika kinoma.

Unajua nini??! kwasababu mechi ilianza na mkaongoza vizuri hivyo hata akili zilikaa kiushindi!!..ndio kandanda, leo kushinda na siku nyingine kufungwa..hata ukisema ukalale usingizi hautakuja ni mpira tu una-replay akilini..pole!!
 
Back
Top Bottom