Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Very amazing my dear. Wale MANU na Mzee wao SAF saa hizi.wameshanuna maana wanajua bado tunaendelea kuwakoromea kooni, waliomba sana leo tupoteze mechi hii ili waongeze gap kule kileleni waliko.

BAK pole pole tunakusikia MaUre🙂 ha ha
Basi leo hamlali na huu ushindi..
 
Naona Jamaa wamachange sana...hali inakua ngumu hapa...kipa katutoa tena...ingekua Baraaaaa
 
tunachezewa nusu uwanja ,wote tunelazimishwa kukaba na hii inawapa urahisi wa kutushambulia zaidi .
 
Hata sijui huyu mr bean ataacha lini uconservative, magoli yote yanakuwa tressed back kwa kosa la kipumbavu la Diaby. He must go to hell!
 
BAK pole pole tunakusikia MaUre🙂 ha ha
Basi leo hamlali na huu ushindi..

Hahahahahahaha lakini kijasho chembamba kinatutoka maana jamaa wamehamia golini kwetu na kufanya mashambulizi ya nguvu. Yaani hapa naomba dakika zikatike tu maana kuwa mbele nne bila halafu kuja kutoa draw au kupoteza mchezo ni aibu ya hali ya juu. Mzima lakini wewe? Umepotea sana siku hizi.

 
Inaudhi sanaaaaa kupita kiasi kwa nini tunarudishiwa magoli kizembe hivi?
 
Wakati huohuo spurs wanashinda dakika za mwisho kabisa 2 - 1 @ the lane
 
Divers in EPL

  1. Van Persie
  2. Walcot
  3. Frabegas
  4. Nicklas B
Kaa kimya mzee
mkuu bora jamaa ange dive ingekuwa powa ,wala aja dive kadondoka kwa vile ka-loose balance wakati anarudi chini.anyway yashapita much blame kwetu kwa kaucha kucheza mpira na kuanza ku-defend.
 
Hahahahahahaha lakini kijasho chembamba kinatutoka maana jamaa wamehamia golini kwetu na kufanya mashambulizi ya nguvu. Yaani hapa naomba dakika zikatike tu maana kuwa mbele nne bila halafu kuja kutoa draw au kupoteza mchezo ni aibu ya hali ya juu. Mzima lakini wewe? Umepotea sana siku hizi.


Yani kama mtarudishwa magoli yote hayo au kutolewa droo itakuwa ni noma..halafu ukitaka muda uende ndiyo kwanza unakuwa kama paused huku mashambulizi yakizidi, punguza na midadi hapo ha ha
Nipo sasa BAK na sijambo, majukumu yalitinga..thanx
 
Back
Top Bottom