Unapataje ujasiri wa kutembelea Jukwaa hili,
Wametoka kukutoboa last week nyumbani kwako palepale.
Nenda kamchambue Maguire kwenye jukwaa lako fanya haraka.
Mimi nashangaa wanaopaniwa halafu wanafungwa, mimi ukinipania na mimi nakupania tu
Mkuu jinsi ulivyoandika inatoa picha mashabiki wa arsenal bado asrenal yenu hamuielewi vizuri hata arteta akija kusoma ulichoandika hawezi kuchukua ubingwa maana mnaongea vitu ambavyo havipo.tatizo mnapenda kusema uongo pale timu ikiwa na mapungufu halafu ikashinda ,kwa unavyo maanisha wewe ni kwamba kila msimu timu inatakiwa kusajiri?Msimu huu timu zote zile big 6 zinastruggle kua kwenye form ndiyo sababu unakuta City kala 5 na Liva kala 7 na baadhi ya mashabiki wanaamini Arsenal anaweza pambania ligi (kinyume na maono ya kocha)
So hakuna timu ambayo imekua kwenye smooth run so far, huyu aliyetufunga leo ametoka kupoteze games mbili mfululizo. Sisi tulipokua tunakutana na Man tulikua tumetoka kupoteza games tatu mfululizo.
Kila timu inahaha kuipata form.
Na zote zinalenga Januari ifike zizibe viraka ili maisha yasonge. Arsenal wanataka kuziba pengo la namba 8, 9 na 10. So the idea ni kwamba timu ijishikilie sasa hivi isurvive hii storm kisha January ijipange upya zaidi.
Ni disappointment kufungwa especially aliyekua juu kabisa alikua amesuluhu ila hili tulilopoteza ni pambano vita bado inaendelea. So bado tunapambania hii vita.
The idea is to win.
WeMove
hawa jamaa uelewa wao kwenye mpira ni mdogo sana , wapo baadhi ndio wanaelewa soka.Ndo uelewe kwamba haya majukwaa ni yetu sote, na kitu kinacho tukutanisha zaidi kama ndugu ni msiba.
Nisipokuja msibani kwako utanilaumu na unaweza kukata hata undugu.
Sema hapa kwenye hii familia misiba minne ndani ya mechi nane ni misiba mingi sana, ndiyo maana wenyewe mnalalamika kwa kuona eti tunakula sana msibani.
Tunawaahidi kwamba misiba ijayo tutakuja na vyakula vyetu.
Abou Diaby mpya huyoThomas partey
Came off at h-t with a thigh problem, easily our best player in the first half
Mzee unajua kua hapa ni umeandika unachokijua lakini siyo cha ukweli?Mkuu jinsi ulivyoandika inatoa picha mashabiki wa arsenal bado asrenal yenu hamuielewi vizuri hata arteta akija kusoma ulichoandika hawezi kuchukua ubingwa maana mnaongea vitu ambavyo havipo.tatizo mnapenda kusema uongo pale timu ikiwa na mapungufu halafu ikashinda ,kwa unavyo maanisha wewe ni kwamba kila msimu timu inatakiwa kusajiri?
mkuu ku struggle kwa liverpool kuko kwenye kukosekana kwa wachezaji wake wote wengi wapo majeruhi ndio maana unaona liverpool inapata hayo matokeo.lakini liverpool imeingia msimu huu ikiwa imekamilika haitaji kusajiri tena.ndio maana msimu uliisha hawakusajiri na wamechukua ubingwa na kikosi kilichopita.
liverpool kikosi chao wanachokitaka bado hakikutani maana akipona huyu yule anaumia wakirudi hao wote hakuna timu ya kumfunga liverpool.
kuepo na pengo kwenye 8,9 na 10 kwa arsenal inamaanisha hamuijui timu yenu vizuri,sasa hivi zimepita mechi 8 tu mnaonekana mnamapengo,mnataka usajiri tena?.kama vile hamkujiandaa.
naona mnajipa moyo msimu huu mtachukua ubingwa,hilo aliwezekani kabisa na liko wazi kabisa ,ni vizuri msidanganyane muambiane ukweli timu inamapungufu. ndio maana mkilekebisha hili lile linatokea.mnatakiwa mnaweka mapungufu yenu na kikawaida lazima mashabiki wa timu mnakuwa na mitazamo sawa kama kweli mnaijua timu yenu vizuri.inakuwa rahisi kufanyia malekebisho na sasa hivi mngekuwa mnapata matokeo mnayoyataka sasa nyinyi mnasifia hata mkibahatisha,kitu ambacho akiwasaidii , hata januari ikifika mkasajiri mtaendelea kufungwa tu na kuonekana na mapungufu.
Unamaanisha nini kila wakati? Hii timu imetoka kushinda 4 kwa 1 Europa imetoka kushinda moja bila kwenye ligi jana imefungwa unasema 'kila wakati'hawa jamaa uelewa wao kwenye mpira ni mdogo sana , wapo baadhi ndio wanaelewa soka.
ndio maana wanapata shinda sana na timu yao, vichapo kila wakati.
Sahihi ila kama kocha anataka timu icheze more defensive inatakiwa ihakikishe inatumia hizohizo nafasi chache zinazopatikana, kama kina wolves, burnley, soton, n.k wanavyofanya.... Ubutu wa washambuliji wetu unaonekana hapa,Mkuu kwenye kukosa nafasi siwezi kuwalaumu wachezaji wetu moja kwa moja.
Ukitaka kufunga ni lazima kama timu utengeneze nafasi za kutosha, pitia stats za Liver na City kuanzia msimu uliopita utaona wanapiga jumla ya shots hadi 20+ wanashinda 2 au 3. Tafsiri inayokuja kichwani ni kwamba unahitaji kutengeneza nafasi nyingi sana ili kuongeza chances za kufunga magoli.
Tatizo jingine ni namna kocha anavyo mtumia Willian, sijaelewa kama tulimnunua ili tumtumie namna ile... kwa kazi anayopewa muda wote, naamini hawa vijana wetu kina Willock wanamudu kuifanya kwa ufanisi zaidi kwa kuwa wana speed zaidi na ni more energetic kuliko Willian.
Mistake iliyofanywa kwenye mechi ya Liver, jana imaejirudia zaidi ya mara tatu na kocha hata haoni/harekebishi. Willian hana speed ya kucope na watu kama Grealish hivyo hana msaada kwa Bellerin wakati wa kukaba, the same ilikuwa kwa Robertson kwny game dhidi ya Liver.
Nipo hapa
Rob Holding kwangu ni kilaza sana,naona anaunga tela tu, anakubali kila opponent anavyotaka.Mkuu kwenye kukosa nafasi siwezi kuwalaumu wachezaji wetu moja kwa moja.
Ukitaka kufunga ni lazima kama timu utengeneze nafasi za kutosha, pitia stats za Liver na City kuanzia msimu uliopita utaona wanapiga jumla ya shots hadi 20+ wanashinda 2 au 3. Tafsiri inayokuja kichwani ni kwamba unahitaji kutengeneza nafasi nyingi sana ili kuongeza chances za kufunga magoli.
Tatizo jingine ni namna kocha anavyo mtumia Willian, sijaelewa kama tulimnunua ili tumtumie namna ile... kwa kazi anayopewa muda wote, naamini hawa vijana wetu kina Willock wanamudu kuifanya kwa ufanisi zaidi kwa kuwa wana speed zaidi na ni more energetic kuliko Willian.
Mistake iliyofanywa kwenye mechi ya Liver, jana imaejirudia zaidi ya mara tatu na kocha hata haoni/harekebishi. Willian hana speed ya kucope na watu kama Grealish hivyo hana msaada kwa Bellerin wakati wa kukaba, the same ilikuwa kwa Robertson kwny game dhidi ya Liver.
Mkuu, tunashukuru kwa matusihawa jamaa uelewa wao kwenye mpira ni mdogo sana , wapo baadhi ndio wanaelewa soka.
ndio maana wanapata shinda sana na timu yao, vichapo kila wakati.
Kama ambavyo usajili wa Chelsea ulivyokupiga kufuli kutokana na kufanya vizuri sasa iviJuzi nilisema huu uzi hauna wachangiaji wa timu zingine kwakua, nanukuu, "We are not fvcking up our opportunities" nikasema tumedeal vizuri na hizi ishu tumewapiga kufuli ila game na villa inakuja kichezesha kufuli, and it did.
So ghafla unaona watu wanafurika na kila mmoja anakuja kutoa stori yake. Wote hao wana stress na timu zao wanataka kuja kupunguzia hasira zao kwenye huu uzi.
Mimi roho itaniuma tukitolewa Europa. Hili battle la ligi ni refu bado muda unatosha kwa waliofungwa saba na sita kurudiwa na huo mzimu at the mean time tujaribu tu kurekebisha tulipomess up.
Kufuli linahitajika tena. Kisha utawaona waleeeee kwa mbaaaali wanaelea elea tu hawawezi kucomment chochote.
Kufuli.
Shida yao hawa midomo mirefu kila jukwaa lazima utawakuta tena ndio wanaongoza kwa kuponda wanasahau madhaifu ya katimu kao.
Mkuu,vichapo vina uhusiano upi na uelewa wa mpira wa mashabiki?hawa jamaa uelewa wao kwenye mpira ni mdogo sana , wapo baadhi ndio wanaelewa soka.
ndio maana wanapata shinda sana na timu yao, vichapo kila wakati.
Villa wamepata big chances mbili na sisi tumepata mbili,Mkuu kwenye kukosa nafasi siwezi kuwalaumu wachezaji wetu moja kwa moja.
Ukitaka kufunga ni lazima kama timu utengeneze nafasi za kutosha, pitia stats za Liver na City kuanzia msimu uliopita utaona wanapiga jumla ya shots hadi 20+ wanashinda 2 au 3. Tafsiri inayokuja kichwani ni kwamba unahitaji kutengeneza nafasi nyingi sana ili kuongeza chances za kufunga magoli.
Tatizo jingine ni namna kocha anavyo mtumia Willian, sijaelewa kama tulimnunua ili tumtumie namna ile... kwa kazi anayopewa muda wote, naamini hawa vijana wetu kina Willock wanamudu kuifanya kwa ufanisi zaidi kwa kuwa wana speed zaidi na ni more energetic kuliko Willian.
Mistake iliyofanywa kwenye mechi ya Liver, jana imaejirudia zaidi ya mara tatu na kocha hata haoni/harekebishi. Willian hana speed ya kucope na watu kama Grealish hivyo hana msaada kwa Bellerin wakati wa kukaba, the same ilikuwa kwa Robertson kwny game dhidi ya Liver.
Sasa wewe ulitakaje kwani? Wewe unafikiri jukwaa unalimiliki wewe? Weka solex basi, na kama hujui aliyeąnzisha kale kauzi kenu ka cheltyako ni shabiki wa ArsenalShida yao hawa midomo mirefu kila jukwaa lazima utawakuta tena ndio wanaongoza kwa kuponda wanasahau madhaifu ya katimu kao.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 yamepata sehemu ya kujifariji.Walitaka sisi tuwafutie aibu yao, wapambane wenyeweeeeeeee.
As if wewe huwa huendi kwenye nyuzi za wengine pindi wanapogongeshwa
Tumeyastukiă, majinga sanayamepata sehemu ya kujifariji.