Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1st goal. Auba
1604257217491.gif
1604257190169.gif
 
Nilisema hapo juu kua Kama strokers watakua 'awake' Hii game tunaweza kushinda bila shida yoyote Ile,

Miaka ya nyuma Man utd walikua wanafaidika sana na makosa yaliyokua yanafanywa na mabeki zetu(nadhani makosa ya mabeki ya kipindi Cha nyuma wote tunayajua),

Leo hii wameingia kucheza na arsenal ambayo mabeki wake wapo 'well organized',hivyo wakashindwa kupata chances ambazo zinazotokana na makosa ya mabeki,

Kiukweli bado mbele ubunifu hamna kabisa,hatuna budi mwakani tukamrudia aour.
 
Mikel Arteta katuongoza kupata ushindi dhidi ya:

-Liverpool x3
-Manchester United x2
-Chelsea x1
-Manchester City x1

Yote ndani ya miezi 11 tu, saa zingine tunakosa uvumilivu tunaona kama anazingua ila kuna kitu kikubwa tu ataifanyia hii klabu. Tusubiri.

#coyg [emoji837] [emoji836]
 
Gabriel ni Bonge la beki kaizoea EPL ndani ya muda mfupi. Ana miaka 22 lakini anacheza kama mtu mzima mwenye miak 30.

Ana vigezo vingi vya beki bora, mrefu (6'3 ft) umbo kubwa, anajua kucheza na mpira, anakaba sana, mzuri kwenye mipira ya juu.

Thamani yake itaongezeka sana ndani ya miaka 2-3 na atakuja kuwa moja ya beki bora duniani akiwa fiti na asipo Pata majeraha.

#coyg [emoji837] [emoji836]
IMG-20201101-WA0000.jpg
 
Nilisema hapo juu kua Kama strokers watakua 'awake' Hii game tunaweza kushinda bila shida yoyote Ile,

Miaka ya nyuma Man utd walikua wanafaidika sana na makosa yaliyokua yanafanywa na mabeki zetu(nadhani makosa ya mabeki ya kipindi Cha nyuma wote tunayajua),

Leo hii wameingia kucheza na arsenal ambayo mabeki wake wapo 'well organized',hivyo wakashindwa kupata chances ambazo zinazotokana na makosa ya mabeki,

Kiukweli bado mbele ubunifu hamna kabisa,hatuna budi mwakani tukamrudia aour.
Tukamrudia nani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom