Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna Kenge moja Iliniambia ohoo Partey hatatembea mbele ya Mctominay na Fred anaitwa Kitobo sijui Kitoabu

Thomas Partey for Arsenal vs. Man Utd:

⬢ Most touches
⬢ Most duels won
⬢ Most ball recoveries
⬢ Most take-ons completed
⬡ 2nd-most tackles made

A midfield masterclass.

IMG_20201101_232906.jpg
 
Arsenal imecheza more than football,. Nimependezwa na perfomance nzuri sana kutoka kwa Gabriel, mfumo wake wa uchezaji ni wa kiwango unachoshindwa hata kueleza, sio mara ya kwanza wala mara ya pili! Sasa imekuwa tamaduni Gabriel ni mchezaji halisi kwa wakati sahihi. Hail kwake Rob Holding mzaliwa wa Stalybridge katika viunga vya Tameside jijini Manchester ameonyesha jitihada na uwezo makinika akiwa mji wa nyumbani ni imani yangu hatosau tarehe 1, Nov 2020.

Tierney ni hazina kwa Arsenal kama ilivyokuwa kwa Bellerin toka awali na sasa Hector anaanza rudi katika ubora wake. Bukayo Saka ni zaidi ya mchezaji kwa umri wa 19 akiwa na uwezo wa kucheza LB, LWB, LCM, LM, LW, RW na SS wewe unakuwa sawa na malaika kwa levels za dunia, ukiangalia namna anapeleka mpira, determination, compactness, ball tech-nick, stamina na skills unaona too much talented Saka.

Elneny, huyu ni zao la mwisho la faraoh! Utendaji wake ni mara tano na uhalisia wa fútbol - katika scenario moja 91'ms alifanya pressing moja ya aina yake anakaba mtu, anakaba nafasi, anakaba uwanja na anakaba kivuli! Anastahili kuvaa jezi ya Arsenal. Thomas Partey ni mchezaji ambaye sikuwahi mfuatilia kabla lakini katika mechi za Arsenal naona wachezaji wawili ndani ya mtu mmoja... Ni Patey huyu mwenye One Touch Pass skill, Rabona, Outside Curlier, Frontier Pressing, Box to Box, Long Range Driver, Fighting Spirit, Speed, Agility, Acceleration, Ball Control, Composer to name a few.. Uchezaji wake ni wa #Kishindo! Huyu mimi nahesabu 72m worth.

Aubameyang hajachangamka! Too lazy for sure... Lacazatte amefanya kazi ambayo nahitaji afanye pure pressing na kuwapa tabu mabeki. Willian leo ndio nimemuona amejitahidi kidogo toka nianze kumfuatilia akiwa in Red & White. Nketiah bado ni U23 levels player not fit & good eneough to wear an Arsenal Shirt.

#ArtetaOut
 
Mwana gunners mwenzangu punguza mihemko, bado hatuna timu ya kushindania ubingwa wa EPL.
Mkuu Ubingwa msimu huu ni wetu. Liverpool wamelegea mithili ya mwanamke aliyetomaswa sana akisubiri dudu lizame... Hao Man City ndio ndondokela tu! Chelsea ndio kama Namungo tu! Kuhusu Pundamilia wao wameshafika nafasi ya 15 hawana pa kwenda.....

#COYG

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Credit kubwa kwa Mikel Arteta, kuna kitu anakifanya ndani ya Arsenal ananikumbusha Pep Guardiola wakati anaingia EPL, hakuogopa kufanya makosa bali kuendelea kusimamia anachokiamini, haswa build up kuanzia eneo lake, very risky

Mohamed El Neny kwenye Kiungo ananikumbusha masimulizi ya Babu yangu juu ya Mholanzi Ruud Gullit, sikumuona ila baada ya mechi leo kanipigia na kuniambia yule MO wa leo ndio Gullit aliekuwa anamzungumzia

Sikuona sababu ya Mason Greenwood kuanza mbele ya Edson Cavani, kwa hoja ya ubora na uzoefu alipaswa kuanza, alitakiwa Mtu wa kuwapa Arsenal wakati mgumu, Cavani ni straika wa calibre ya kuwasumbua mabeki, bahati mbaya dakika hazikutosha

Thomas Partey nadhani Atletico wamepigwa, pesa Arsenal wanapaswa kuongeza Bwana, jamaa ni progressive midfielder, akikaba anaenda mpaka mwisho wa move, wakikabwa tayari yupo eneo lake, yupo kila eneo kama hewa, what a man

Kuna utawala mpya wa mabeki wa kati kutoka Brazil unajengwa pale England, mtazame Fabinho, mtazame Thiago Silva kisha Gabriel yule wa Arsenal, sio rahisi kucheza na forward yenye kasi kama United ila yeye alikuja kuipa Arsenal utulivu, katulia sana kama mvinyo kwenye chupa

Ni kazi rahisi sana kumkaba Paul Pogba mpaka nashangaa, Technician kama yeye mwenye footwork ya hatari kama yeye inakuwaje?? Nimegundua tofauti yake na Alcantara ni kuwa yeye anataka sana kukaa na mpira kuliko kuachia kwa haraka, ndio maana anakabika sana tena kirahisi

Ukitaka kumtesa Arteta ambaye anapress kama unit na anacheza kwa maelekezo mengi, ni kuwa na wachezaji wengi wazuri kwenye timu yako ambao wana ubora bila mpira, Donny Van de Beek na Edson Cavani walipaswa kuanza, wana sifa hiyo wanajua kucheza kwa eneo, hakulisoma hilo

Arsenal wamenifundisha kitu kuhusu Auba, straika anaweza kucheza kutokea pembeni, viungo wa kati wanaweza kucheza kutokea pembeni, hili neno Formation lipo tu ila muhimu ni system na maelekezo kwa wachezaji ndani ya System, Arsenal wamefaulu

aftvmedia-20201102-0001.jpg
 
Nyinyi mnaowaza kuhusu ubingwa wa ligi mnaiongelea ligi ipi? Hii ambayo aliyempiga liva saba yeye anaenda kukamuliwa na NC?

Timu yetu inaweza pambania trophies ila ni zile trophies za short term so FA, Carabao, Europa hizi zote tunaweza fightia. In fact naamini City kwenye carabao tutamtoa kamasi.

Ligi ni ishu nyingine. Ndiyo maana anayewaona wachezaji na kushinda nao kila siku kasema matarajio yaanzie miaka 3 mbele
 
View attachment 1617576
Sasa Pogba angeachia mpira kwa haraka ampe nani? Kila anapoangalia anaona uzi wa Arsenal. Hata Maguire alijikuta na shida hiyo msiwalaumu.
 
USILOLIJUA

Jana usiku kipa wa Arsenal BERND LENO Kapiga pass nyingi kuwazidi baadhi ya wachezaji wa Man utd

Rashford
Greenwood
Pogba
Bruno

Leno mpk ss anaongoza kwa makipa wenye kupiga pass nying uwanjan
Kipofu kaona mwezi leo watu hatunywi maji.
 
Nyinyi mnaowaza kuhusu ubingwa wa ligi mnaiongelea ligi ipi? Hii ambayo aliyempiga liva saba yeye anaenda kukamuliwa na NC?

Timu yetu inaweza pambania trophies ila ni zile trophies za short term so FA, Carabao, Europa hizi zote tunaweza fightia. In fact naamini City kwenye carabao tutamtoa kamasi.

Ligi ni ishu nyingine. Ndiyo maana anayewaona wachezaji na kushinda nao kila siku kasema matarajio yaanzie miaka 3 mbele
Hiki kikombe cha kwetu Kaka itoshe tu kusema hivyo.
 
Siku tunachukua FA kwa chelsea ilikua ni sprinting ya Bellerin ndiyo ikafikisha mpira kwa Pepe ambaye akampa Auba tukapata goli la 2.

Tunacheza na Dundalk, all hope is lost timu inashindwa kupenya, Bellerin anapata mpira anatambaa nao kule kulia anatoa assisst kwa Auba na Auba anascore.

Jana penati ilitokana na Bellerin kukimbilia pasi akiwa anaanza kuondoka paul akamkwanyua.

Nafikiri hatumuappreciate Bellerin ipasavyo.
 
Back
Top Bottom